Timu ya wanaume ya Israel imetwaa medali ya dhahabu katika marathon ya timu kwenye Mashindano ya Riadha ya Ulaya 2026 yanayoendelea Birmingham, England, baada ya kuwazidi wapinzani wake wa karibu Ujerumani kwa tofauti ya sekunde 34 katika jumla ya muda wa wakimbiaji wake.
Ushindi huo umechangiwa kwa kiasi kikubwa na kiwango cha Gashau Ayale, aliyemaliza katika nafasi ya tatu kwenye mbio za mtu mmoja mmoja kwa muda wa saa 2:09:21 na kutwaa medali ya shaba.
Soma pia: Fabian Joseph ndo Mtanzania wa kwanza kupata medali ya dhahabu kwenye mashindano ya ubingwa wa Dunia
Mjerumani Amanal Petros alitwaa dhahabu binafsi kwa rekodi mpya ya mashindano ya saa 2:09:11, huku Pietro Riva wa Italia akimaliza wa pili kwa saa 2:09:18.
Israel iliingia katika mashindano hayo ikiwa na historia nzuri kwenye marathon ya timu. Ilitwaa dhahabu katika Mashindano ya Ulaya ya 2022 mjini Munich, na kabla ya mashindano ya Birmingham, European Athletics ilikuwa imeitaja tena kama moja ya timu zenye nguvu kutokana na uwepo wa wakimbiaji wenye uzoefu kama Maru Teferi na Ayale.
===========
Israel has won the team gold medal at this year’s European Athletics Championships in the men’s marathon.
The combined time of their top three runners was 26 seconds faster than second-placed Germany.
Gashau Ayale was Israel’s best runner, finishing in third place with a time of 2:09:21, securing the individual bronze medal.
He completed the race ten seconds behind Amanal Petros of Germany in first place, who achieved the course record.
The two next best Israelis were Tadesse Getahon (2:09:31) in fifth place and Haimro Alame (2:09:45) in eighth.
The next best two German runners after Petros finished in the ninth and tenth spots, giving them a combined time of 6:29:03. Israel’s total time was 6:28:37.
Israel’s other three runners were Yitayew Abuhay (12th), Maru Teferi (22nd), and Bukayawe Malede (35th). In total, there were 52 runners, plus eight non-finishers.
Source: THE JEWISH CHRONICLE