Israel inafanya mambo yote kujilinda na kimkakati, sio mwendawazimu anayeshambulia kila mahali tu

Israel inafanya mambo yote kujilinda na kimkakati, sio mwendawazimu anayeshambulia kila mahali tu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kama taifa au kikundi cha watu hawana mpango au njama za kuidhuru na kuingamiza Israel kama taifa na raia wake basi yenyewe inakuwa haina mpango wa kushughulika na hiyo nchi au kikundi cha watu ndio maana Israel haina shida na majirani zake wengine wa karibu kama Misri, Jordan na Saudi Arabia walioamua kuishi nayo kistaarabu.
20250618_151238.jpg
 
Back
Top Bottom