Israel inalindwa na maombi ya watakatifu ulimwenguni wakiwemo wa pPalestine na Wairan

Waisrael wakuue kwa sababu gani mnawachokoza wenyewe nyie wafia dini na chuki mnazofundishwa madrasa
Mimi si mwislamu, na ujue si kila mtu ni muislamu kule Gaza na Lebanon.
Ujinga wa kufikiri kila kinachofanywa na Israel kina baraka ni upumbavu wa kupindukia.

Kama ingekuwa hivyo wanachofanya Israel ni sawa, basi wewe mwafrika unachukuliwa kama nyani wa kutumika kulengwa mazoezi ya shabaha
 
Mimi siombi kwa ajili ya Israel. Na sidhani hata hii Biblia yangu Israel anaitambua na kuitumia. Waisraeli wanakaribia mil 10 sasa ila WAKRISTO wanaosali Jumapili, humo hawazidi laki 2 na WAKRISTO Wadventist wa sabato wasio wayahudi hawazidi 1600. Kwa hiyo Taifa la Israel sio la kikristo. Na hawawatambui wakristo.
 
huna akili, sawa na kusema CCM inalindwa na Mungu kwa uonevu wanayoifanyia Chadema basi huyo Mungu wenu Mbaguzi
 
Shida ni kubwa sana kuliko tunavyofikiri, Israel inalindwa na uwekezaji mkubwa kwenye silaha za kisasa na uchumi wake mzuri
 
unahitaji kuhubiriwa

Ni kama injili ya neema ya Emanueli bado sana.
 
Mosab Hassan baba yake ndio Muanzilishi wa Kikundi cha Kigaidi cha Hamas.

Lakini yeye kakataa kufuata Idiolojia ya Kigaidi.
 
Naomba maana ya maneno haya mawili

1. Taifa:-
2. Israel:-
 
Israeli taifa la Mungu God bless Israel
 

Attachments

  • 1458701437.mp4
    1.6 MB
Waisrael wakuue kwa sababu gani mnawachokoza wenyewe nyie wafia dini na chuki mnazofundishwa madrasa
Ni upumbavu kuyatazama mapambano dhibi ya kujitwalia ardhi na wazungu(siyo wayahudi) huko Israel na kufikiri ni mapambano ya kidini.
 
Israel inalindwa kwanza na Ahadi za Mungu, kiapo alichoapa kwamba hatakuja kuwaacha. watende dhambi wasitende dhambi kile kiapo cha Mungu kinaishi na Mungu hawezi kuwaacha asijeonekana mwongo, na Mungu hutimiza kila anachosema.

Hii inatufundisha hata sisi, kuna watu tunaishi nao mtaani tunaona wajinga tu na pengine hawana elimu au akili kama sisi, ila wanaishi na kutembea na kibali, kila wanachofanya kinafanikiwa hata hawatumii efforts kubwa. Mungu yupo pamoja nao. hii imewatokea sana watoto ambao wazazi wao walitoa jasho sana kumtumikia Mungu, watoto wa wachungaji, watoto wa wainjilist au waumini wa kawaida waliojitoa kwa Mungu. Mungu huwa ana mambo anaapa kwao na vizazi vyao vijavyo. Hao kina Tulia Akson unaoona kama wanapaa tu, wazazi wao ni wachungaji na waliishi maisha ya kimaskini ili wahubiri injili. wapo wengi sana hata hatumii efforts kama zako, hajiungi na freemason, hajiungi na waganga, ila utapambana naye utashindwa yeye anaendelea kupaa.

Mtumikie Mungu, na wakati unamtumikia kabidhi watoto wako kwake, hakunaga jasho unatoa kwenye mambo ya Mungu linaloenda bure.

kwa hiyo, hata sisi tuombe au tusiombe, Mungu yeye huwa hasahau ahadi yake.though tunapoomba kama Yesu alivyoulilia Yerusalem, tunakuwa tunamkumbusha Mungu tu kuhusu ahadi yake lakini hata tusipoomba maadamu alishatamka, Maneno yake yanaishi. hata kwako, ukiona Mungu ametamka kitu kwako, hicho kinaishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…