Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Waziri wa ulinzi wa Israel bwana Gallant ameeleza kuwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah, yamepunguza sana uwezo wa Hezbollah wa kupigana, na Hezbollah kwa sasa hawana mfumo wa kusimamia uendeshaji wa vita.
Galant ameeleza kuwa Israel imefanikiwa kutengeneza mwanya utakaowezesha kufungua mlango wa mabadiliko, siyo ndani tu ya Lebanon, bali kwa Mashariki ya kati yote.
Note: Hezibollah, kundi la kigaidi la Iran, likishirikiana na makundi mengine ya kigaidi, limefanikiwa kuzifanya Serikali za mataifa ya Lebanon, Yemen, Syria na Iraq kuwa dhaifu sana, kwani makundi haya yana nguvu kushinda majeshi ya mataifa hayo. Kupotezwa au kupunguzwa nguvu kwa Hezbollah kunaweza kuyafanya mataifa haya yaliyofanywa kuwa makoloni ya Iran kupitia Hezbollah na makundi mengine ya kigaidi, kuwa huru, na hivyo kuwa Serikali na zenye nguvu.
Gallant also touted the success of Israel’s campaign against Hezbollah so far, saying Israel has “dismantled a major part of their capabilities” and that Hezbollah now faces “a lack of command and control.”
Gallant argued that the blows Israel has dealt against Hezbollah “have made a crack that now opens the door to change not just in Lebanon, but in the entire Middle East.”