Israel inasema Imetengeneza mwanya wa kufungua mlango wa mabadiliko Mashariki ya Kati

Chochote watakachofanya wayahudi kuangamiza magaidi na dini yao nitawaunga mkono.
Hapo mama yako na dada zako wamepitiwa na hiyo dini usiyoipenda coz ndio inaongoza kuwa na mahandsome mashabab...we waulize wanawake wa ukoo wenu...
 
Umeishia darasa la ngapi wewe!!!! Aisee Tanzania tuna safari ndefu Sana ya kuwatoa vijana kwenye UJINGA
Unaweza tuambia wewe usiye mjinga eneo ambalo majeshi ya israel yameingia lebanon!?
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-07-18-38-12-891.jpg
    422.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_2024-10-07-18-35-56-966.jpg
    449.7 KB · Views: 3
For your information, tangu Israeli ilipoivamia Lebanon oktoba mosi, jeshi la ardhini la Israeli limeshindwa kuingia ndani ya mpaka zaidi ya kilomita 15, achilia vifo zaidi ya 300 na majeruhi zaidi ya 100 vya wanajeshi wake. Kiufupi hakuna cha maana walichoweza kuachieve so far, zaidi ya aerial bombardment and killing of innocent civilians.

Zaidi soma:
(1)Israel-Lebanon in maps: Tracking the conflict with Hezbollah and Iran

(2)Israeli forces step up attacks across Lebanon after ‘limited’ ground raids
 
Adui mkubwa wa Wayahudi sio Shia bali ni Sunni ( real muslims)

Sunni wakiamka kupambana na mayahudi basi utaona hadi mashia wanaungana na marekani na mayahudi kupambana na waislam (sunni).
 
Myahudi anafanya juu chini kuifanya hii vita isionekane ni ya kidini ila kiuhalisia ni vita ya kidini muda mrefu sana baina ya Waislam na wayahudi.

Huu ni mfululizo wa vita vidogovidogo kabla ya kuja kuzuka vita kuu ya mwisho baina ya Waislam na wasiokuwa waislam.



View: https://m.youtube.com/watch?v=mF6B5UVupyA
 
Ugaidi wa hezbollah ni upi????,Kati ya hezbollah na Israel ni nani aliyeanza kumchokoza mwingine?????
 
Hakuna udini wowote hizo ni propaganda zenu zisizo na vichwa wala miguu,wambie Israel waache kukalia ardhi ya Lebanon na Palaseitina kimabavu uone kama kutakuwa na mgogoro wowote.
 
Hakuna udini wowote hizo ni propaganda zenu zisizo na vichwa wala miguu,wambie Israel waache kukalia ardhi ya Lebanon na Palaseitina kimabavu uone kama kutakuwa na mgogoro wowote.
Wayahudi wanajua Uislam na waislam ndio tishio dhidi yao. Walianza kupambana na Waislam tangu Mtume Muhammad pbuh yupo katila mji wa madinah. Na Myahudi hajawahi kufanikiwa katika vita dhidi ya waislam.
 
Vita kuisha ngumu sana,kuna visasi
 
Wayahudi wanajua Uislam na waislam ndio tishio dhidi yao. Walianza kupambana na Waislam tangu Mtume Muhammad pbuh yupo katila mji wa madinah. Na Myahudi hajawahi kufanikiwa katika vita dhidi ya waislam.
Chanzo cha vita yao ni nini haswa maana myahudi yeye anauwa viongozi Kwa sana miaka na miaka
 
Huyu si ndo alisema wameimaliza HAMAS?

Hata hivyo HAMAS imeendelea kurusha makombora Tel-Aviv
Angalau sasa hv Hamas wanavizia wanarusha viroketi viwili haoo wanazama mashimoni kujificha kama panya..hawaishi tena juu ardhini kama binadamu wa kawaida...chezea mtoa roho wewe hahhahaaa
 
Chanzo cha vita yao ni nini haswa maana myahudi yeye anauwa viongozi Kwa sana miaka na miaka
Chanzo cha vita ya wayahudi na waislam ni husdah (kijicho/wivu/envy) ..mayahudi baada ya kusoma katika taurati kuwa mtume wa mwisho atatokea maeneo ya uarabuni..walikwenda kuanzisha makao yao ndani ya Mji wa Madinah wakitegemea kuwa huyo Mtume atotakana na wao kwasababu historia inaonesha kuwa mitume mingi sana imetokea kwa wana wa israel.

Cha kushangaza Mungu akamleta mtume huyo kutoka kwa Waarabu. Wayahudi wakachukia sana tokea hapo hawajaacha kupambana na waarabu. Walipanga njia nyingi sana za kumuua Mtume Muhammad (pbuh) ila aliwashinda vibaya mno vitani na kuwafanya waishi kidhalili ndani ya utawala wa Uislam kwa maelfu ya miaka huku wakilipa Kodi ya ulinzi mpaka pale waislam walipoacha kuishika dini yao. Mungu akawasalitishia maadui zao kwa kuwapa nguvu na kuivunja dola ya Ottoman . Waislam wakirudi kwenye dini yao basi wanakuja kuitawala tena dunia na ndio utakuwa mwisho wa Uyahudi hapa duniani.
 
Risasi haija wahi kuwa suluhu ya matatizo,zaidi ya kuchochea uhasama na visasi.

NB:Vita sio kitu cha kushabikia.

Hawa wasiishie kwenye risasi tu, wapigane kikweli kweli. Baadaye watatulia na kufanya tathmini ya vita kwa ujumla. Majibu watakayopata yatawafanya wafikirie njia bora ya kutatua matatizo yao. Kwa hiyo vita itasitishwa kwa hata miaka 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…