Israel inatarajia kuwaita askari wa akiba 60,000 ili kumalizia Operation ya kuiteka Gaza!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Wakati akina Webabu wanaeneza Propaganda uchwara za kudai kuwa askari 14,600 wa Israel wamekimbia vitani-

IDF itaanza kutoa maagizo ya kuwaita askari wa akiba takriban 60,000 katika siku zijazo kwa ajili ya mpango wake wa kushambulia mji wa Gaza, ambao Waziri wa Ulinzi Israel Katz ameidhinisha rasmi.

Askari wa akiba watapokea taarifa ya angalau wiki mbili kabla ya kuhitajika kuripoti kazini, na sio wote wanaotarajiwa kutumwa moja kwa moja ndani ya Gaza; wengi watachukua nafasi ya askari-kazi katika nyanja nyingine. Uhamasishaji huu utaleta jumla ya jeshi la akiba la Israeli wakati wa kampeni kwa karibu wanajeshi 130,000 ambao watatosha kabisa kuikalia Gaza yote!!
 
Attachments

  • IMG_20250820_194246_172.jpg
    IMG_20250820_194246_172.jpg
    117.1 KB · Views: 36
Wakati akina Webabu wanaeneza Propaganda uchwara za kudai kuwa askari 14,600 wa Israel wamekimbia vitani-
IDF itaanza kutoa maagizo ya kuwaita askari wa akiba takriban 60,000 katika siku zijazo kwa ajili ya mpango wake wa kushambulia mji wa Gaza, ambao Waziri wa Ulinzi Israel Katz ameidhinisha rasmi. Askari wa akiba watapokea taarifa ya angalau wiki mbili kabla ya kuhitajika kuripoti kazini, na sio wote wanaotarajiwa kutumwa moja kwa moja ndani ya Gaza; wengi watachukua nafasi ya askari-kazi katika nyanja nyingine. Uhamasishaji huu utaleta jumla ya jeshi la akiba la Israeli wakati wa kampeni kwa karibu wanajeshi 130,000 ambao watatosha kabisa kuikalia Gaza yote!!
wanaiteka gaza, then what next?
 
Wakati akina Webabu wanaeneza Propaganda uchwara za kudai kuwa askari 14,600 wa Israel wamekimbia vitani-

IDF itaanza kutoa maagizo ya kuwaita askari wa akiba takriban 60,000 katika siku zijazo kwa ajili ya mpango wake wa kushambulia mji wa Gaza, ambao Waziri wa Ulinzi Israel Katz ameidhinisha rasmi.

Askari wa akiba watapokea taarifa ya angalau wiki mbili kabla ya kuhitajika kuripoti kazini, na sio wote wanaotarajiwa kutumwa moja kwa moja ndani ya Gaza; wengi watachukua nafasi ya askari-kazi katika nyanja nyingine. Uhamasishaji huu utaleta jumla ya jeshi la akiba la Israeli wakati wa kampeni kwa karibu wanajeshi 130,000 ambao watatosha kabisa kuikalia Gaza yote!!

We babu ni darasa la saba. Huwa haelewi lolote anapata taarifa za kupost toka kwa sheikh mmoja baada ya swala mchana. Yule sheikh ndo anampa stories webabu anakuja kupost. So wala usiwe unafikiria anachopost. Ni kama alivyokuwa Muddy tu hajui kusoma.
 
wanaiteka gaza, then what next?
Gaza ilikuwa Israel baadaye wakawapa waarabu baada ya magaidi hao kufanya Ugaidi Oct 07,2023 sasa Israel imeamua To take back Gaza!! Hiyo next yako utajua mwenyewe!!!
 
Wakati akina Webabu wanaeneza Propaganda uchwara za kudai kuwa askari 14,600 wa Israel wamekimbia vitani-

IDF itaanza kutoa maagizo ya kuwaita askari wa akiba takriban 60,000 katika siku zijazo kwa ajili ya mpango wake wa kushambulia mji wa Gaza, ambao Waziri wa Ulinzi Israel Katz ameidhinisha rasmi.

Askari wa akiba watapokea taarifa ya angalau wiki mbili kabla ya kuhitajika kuripoti kazini, na sio wote wanaotarajiwa kutumwa moja kwa moja ndani ya Gaza; wengi watachukua nafasi ya askari-kazi katika nyanja nyingine. Uhamasishaji huu utaleta jumla ya jeshi la akiba la Israeli wakati wa kampeni kwa karibu wanajeshi 130,000 ambao watatosha kabisa kuikalia Gaza yote!!
Ndio furaha yenu, na mlivyo na chuki na waarabu ndio mnatamani wauawe wote, ilaa hamtaweza na gaza itaendelea kubaki chini ya freedom fighters, nimemaliza
 
Kwa kuwa walifanya Ugaidi Oct 07,2023 Acha wafyekwe tu maana waarabu si watu ni mashetani kabisa!!!
 
Kama waarabu ni mashetani, na waafrika na wazungu wasio na utu tuwaiteje!

Kabla ya oct kulikua na amani? Miaka zaidi ya 70 wanafanya unyama, wewe umeona oct!!

Israel kitawakuta kibaya sana, na wote wanaomsapoti watakua na majibu mbele ya Mwenyezi Mungu, hivyo endeleeni na kibri
 
Hiyo ndiyo inaitwa “Dua la kuku halimpati mwewe”!!!!!
 
Hapa sijaelewa,wataiteka gaza pamoja na wanajeshi wa Hamas wakiwa ndani ya mahandaki?
 
Back
Top Bottom