Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 746
- 852
Inatusaidia nini sisi Watanzania huku maana umekomaa kama mshipa wa mcundu utafikiri unalipwa na hao Hamas🇮🇱 Netanyahu alikiri kwamba Israel inaunga mkono na kuyapa silaha mashirika ya kigaidi kama ISIS kupambana na Hamas:
"Kwa hivyo, inaokoa maisha katika IDF"