Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Waisrael huko na magazeti yao wamegundua moto unao wangojea huko Lebanon, sio Missiles tu zinawasubiria na drones, lakini kuna ndege vita kuliko F16, ambayo wanatamba nayo Israel ni drones ambazo hazina tofouti na F16 zina ruko 30,000ft.
Zinauwezo wa kupita kwenye Radar bila kuonekana, na zina tumika pia kuangusha ndege, na kuvuruga communication system ya ndege za adui. na zinashambulia target kwa kutumia maboom yenye uzito wa 250KG ni balaa tupu.
Wa Israel wanasifia hio drone wanasema Iran hapo kafanya majabu sana, sa swali wanalo jiuliza Israel atafanya nini tena kwa Hezbullah?
Wanaomba Israel wasi subutu kuigusa Hezbullah kwenye full war, wanasema Hezbullah hawezekani tena bora tutulize akili zetu tusifikirie kusogea Lebanon hatuwezi kabisa kushinda vita.
Ndege yenyewe MQM 107 striker 3 in one ni ndege isio na pilot hatari duniani
Ndege yenyewe ni hio hapo
View: https://youtu.be/xnKdPOaJTHM?si=pcNnpHxPQFWa3q9O