Ngoja tusubiri tutajua mbivu na mbichi. Kama Israel itaiacha hizbullah bila kuivamia itaendelea kuvamiwa mara Kwa mara na hao hizbullah.
Takwa la hizbullah Kwa Sasa ni kusitishwa vita huko Gaza, lakini hata Israel wakitimiza hilo bado Kuna lingine linaweza kuibuka Kwa Maana hizbullah wataona wanawamudu waisrael. Watataka wahame maeneo yote ya wapalestina waliyoyatwaa
Kuwaua makamanda wa hizbullah pekee haisaidii, hii mbinu haikuisaidia Ukraine, haijasaidia kuizuia Iran kuendelea na mambo yake kwa Maana ukimuua huyu nafasi yake inachukuliwa na mwingine anaendeleza alipoishia mwenzako tena Kwa umakini mkubwa zaidi.