Israel Kasalim Amri Kwa Hezbollah

Ngoja tusubiri tutajua mbivu na mbichi. Kama Israel itaiacha hizbullah bila kuivamia itaendelea kuvamiwa mara Kwa mara na hao hizbullah.

Takwa la hizbullah Kwa Sasa ni kusitishwa vita huko Gaza, lakini hata Israel wakitimiza hilo bado Kuna lingine linaweza kuibuka Kwa Maana hizbullah wataona wanawamudu waisrael. Watataka wahame maeneo yote ya wapalestina waliyoyatwaa

Kuwaua makamanda wa hizbullah pekee haisaidii, hii mbinu haikuisaidia Ukraine, haijasaidia kuizuia Iran kuendelea na mambo yake kwa Maana ukimuua huyu nafasi yake inachukuliwa na mwingine anaendeleza alipoishia mwenzako tena Kwa umakini mkubwa zaidi.
 
Nawasoma na wenzio sometimes natabasamu tu. Ulichoandika hapo kinaitwa wishful thinking!.
 
Nawasoma na wenzio sometimes natabasamu tu. Ulichoandika hapo kinaitwa wishful thinking!.
Ubaya hamupendi ukweli analolisema jamaa ndio ukweli tena ulianza kujidhihirisha tokea ama kabla y mwaka 2006 kwa hizbullah na kwa iran takwimu zinasema hivyo
Hizbullah viongozi wao wameuliwa kwa miaka sasa ila takwimu zinaonesha wamekua imara leo zaidi kuliko juzi na iran kadhalika
Ila mnapenda mipasho badala ya fact
 
Waache na akili zao ndogo, kesho wakibonyezwa wataanza tena kulia Israel wanaua wanawake na watoto.
Akili zenu sijui vipi kuna tofouti kati ya vita na Genocide, Israel vita vipi wewe kashinda? Israel huwa hapigani vita yeye anaenda piga Raia wasio na hatia.

Anapiga Hospital anasema Central Command, tuonyeshe dalili hana.

Mmesahau zile drama za bollywood pale Al Shifaa Hospital, yule muongeaji wao jeshi la Pampers alimzidi hata Sharukh Khan kwenye action za kuruka 😆
 
wewe unajuwa ila Israel aliye jiran na Lebanon na ana majasusi humo Lebanon ila hajui , ushabiki ukizid utakuwa mwehu
 
kama hao magaid hawapigwi kwann hawasong mbele ? tumia akili hata kiasi kidogo
 
Ni hatari sana
 
Waache na akili zao ndogo, kesho wakibonyezwa wataanza tena kulia Israel wanaua wanawake na watoto.
Myahudi analinda maslahi ya nyumbani kwake amerudi nyumbani baada ya kuhangaika muda mrefu. Mwarabu anahangaika toka 1948 mpaka leo ameshindwa kumtoa Israel kwa nini ? Watu wamejipanga aisee hawajakurupuka. Na kuhusu wao kuvamia Tanzania haiwezekani kwa sababu huku sio kwao.
 
wewe unajuwa ila Israel aliye jiran na Lebanon na ana majasusi humo Lebanon ila hajui , ushabiki ukizid utakuwa mwehu
Lebanon ni failed state walebanon walishahama nchi kitambo wamejazana South America.Hata yule Tajiri wa Mexico Carlos Slim Helunni Mlebanon.
 
Zinauwezo wa kupita kwenye Radar bila kuonekana, na zina tumika pia kuangusha ndege, na kuvuruga communication system ya ndege za adui. na zinashambulia target kwa kutumia maboom yenye uzito wa 250KG ni balaa tupu.
Tusubiri kidogo,utasikia kelele za watoto na wanawake wanauliwa.
 
Sio kila methali ama nahau ama semi inaakisi uhalisia wa maisha.
Israel kapiga mahesabu vibaya,kamanda anaweza akatafutiwa mbadala.
Labda amuue Hassan Nasrallah.
Unaongea nini, huyo nasrallah hata chooni haendi kwa woga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…