Hawaguswi.Raia wa kawaida wasiguswe
Yupo Moscow!.Wa sasa, waliopo na wajao, shughuli imeisha hiyo! Kama ayatollah hayupo Tehran basi utawala wake tayari umeangushwa!
Acheni kupotoshwa na PROPAGANDA feki za Israel. Israel haina uwezo hata kidogo wa kuipiga iraniTAARIFA MPYA: Maafisa wa Israel wamesema jeshi linajaribu kuangusha utawala wa Iran kwamba linalenga viongozi wote wa Iran wa kisiasa na kijeshi wa zamani, wa sasa, na wa baadaye,’ kwa mujibu wa ripoti ya Axios.
MTU YEYOTE ANAYESHABIKIA WATU WAUWAWE (VITA), NI WAKALA WA SHETANI BILA MWENYWE KUJIJUA!Naunga mkono Makobaz wapelekewe moto
Hao viongozi wa usalama na wanasiasa wanaouliwa si Wairan au siyo?Acheni kupotoshwa na PROPAGANDA feki za Israel. Israel haina uwezo hata kidogo wa kuipiga irani
Mwaka jana iliwabeep Irani ikaambulia, kipigo cha mbwa koko; kama sio marekani kuingilia kati, tungekuwa tunaongea mambo mengine.
Marekani ina kituo cha kijeshi Israel kwa ajili ya kudhoofisha nguvu middle East, na kwa Africa ni watanzania tu ambapo wengi hawana exposure ya mambo ya kimatafa; kutwa kucha wanashabikia nguvu ya Israel kumbe ni nguvu ya wamarekani....
acha kushupaza shingo, iran inapigwaAcheni kupotoshwa na PROPAGANDA feki za Israel. Israel haina uwezo hata kidogo wa kuipiga irani
Mwaka jana iliwabeep Irani ikaambulia, kipigo cha mbwa koko; kama sio marekani kuingilia kati, tungekuwa tunaongea mambo mengine.
Marekani ina kituo cha kijeshi Israel kwa ajili ya kudhoofisha nguvu middle East, na kwa Africa ni watanzania tu ambapo wengi hawana exposure ya mambo ya kimatafa; kutwa kucha wanashabikia nguvu ya Israel kumbe ni nguvu ya wamarekani....
Acheni kupotoshwa na PROPAGANDA feki za Israel. Israel haina uwezo hata kidogo wa kuipiga irani
Mwaka jana iliwabeep Irani ikaambulia, kipigo cha mbwa koko; kama sio marekani kuingilia kati, tungekuwa tunaongea mambo mengine.
Marekani ina kituo cha kijeshi Israel kwa ajili ya kudhoofisha nguvu middle East, na kwa Africa ni watanzania tu ambapo wengi hawana exposure ya mambo ya kimatafa; kutwa kucha wanashabikia nguvu ya Israel kumbe ni nguvu ya wamarekani....
Kinachoendelea Iran sasa hivi ni propaganda!!??Acheni kupotoshwa na PROPAGANDA feki za Israel. Israel haina uwezo hata kidogo wa kuipiga irani
Mwaka jana iliwabeep Irani ikaambulia, kipigo cha mbwa koko; kama sio marekani kuin
Israel Inatangulizwa tu ili wasio na exposure na mambo ya kimataifa wafikiri ndio wanapigana vita ILA kiuhalisia anayepigana vita ni Marekani. Israel ni Koloni la Marekani hivyo anatii maelekezo ya Bwana wake......Kinachoendelea Iran sasa hivi ni propaganda!!??
Magaidi wa baadaeRaia wa kawaida wasiguswe
OkWote wawili,
Wanashirikiana.