Harmonize wa Jf
Member
- Jan 6, 2022
- 56
- 336
Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi.
Inasemekana Israel tayari umeanza mipango ya kuishambulia Iran leo huku kukiwa na hofu ya Israel KUISHAMBULIA visima vya mafuta vya Iran pamoja na vinu vyake vya NYUKLIA.
Raia joe Biden wa marekani ameionya Israel isivishambulie vinu vya NYUKLIA vya Iran na badala yake ijibu kama Ilivyopigwa Ili kutokupelekea kuzunguka Kwa vita rasmi.
Israel inadaiwa imeshamaliza vikao toka juzi juu ya kujibu shambulio la Iran na vyombo vya kijasusi vya marekani vimedai Israel ataishambulia Iran masaa machache yajayo.
Soma Pia: Rais Biden wa Marekani asema hakuna chochote kitachotokea nchini Iran leo