1. Ama kweli za mwizi zinahesabika na jana ilikuwa ya 39.
2. Kimeumana mahakamani; kwamba aliyoyanena msauzi Jana, ati kuwa ndiyo haswa ushahidi wake?
3. Ati kuwa yeye ndiye amekuwa akitaka mno mazungumzo na Sauzi na eti kuwa ni u kichwa ngumu tu, wa Sauzi kukimbilia mahakamani?
4. Kwamba?
5. Huyu bwana anamfamu Tiganga au anamsikia?
6. Hapa mwana mkaidi, kufaidi na asubiri siku ya Idd.
7. Kwamba?
8. Hali?
9. Anqchomoka mtu vipi hapa?!