Israel mambo yamewafika hapa. Watishia kuipiga Lebanon kama dunia itashindwa kuwaondoa Hizbullah mpakani. Je, wataweza?

Unafikiri vita ni story za iron dome na six days war, hizo zilipendwa mzee, jeshi la ardhini Israel haina watu, sana sana wategemee air force, lakini air force pasipo kushuka chini ardhini kama mwanaume kupambana chocho kwa chocho, nyumba kwa nyumba hawatoshinda.

Sera za kishoga hadi jeshini, lazima wapigwe tu.
 
We endelea kupiga kelele hapa,huko shughuli ipo mahali pake,na ishaamuliwa hakuna poo ni kipigo tu.
 
baadae mnasahau na kudai israel ilikuwa inajishambulia ili ipate sababu ya kujitanua , uislam ni iman ya wajinga sn
 
Ukiona Israel anaomba mazungumzo na nchi wapate muafaka wa kisiasa basi ufahami hali mbaya kwake, huo ni mkwala tu anaishambulia Lebanon na yeye miji yake itachaka kwa makombora siyo mara ya kwanza vita vya mpaka UN akaingilia kati.
ukifikaga muda wa ngumi mnaanza lia apertheid , nyie ni watu wajinga kuwai kutokea dunian
 
Kwa kweli Israel iendelee kupambana na Hamas tu, kupambana na Hezbollah ni issue ingine, Hezbollah wanaweza rusha makombora wiki nzima bila kunywa maji wala kupumzika.
hamas wamerusha kwa miaka 9 mfululizo ila kuvamia ndo imewakera Idf , siku ukija kujua kuwa hamas ni bora kuliko hao utopolo wako utajicheka mwenyew , hizbollah kupigana nao ni sw na kuivamia Lebanon ambao pia hawaitambui hizbollah km jeshi rasmi
 
Watu wanataka kurudi makwao hawawezi tena.Kachanganyikiwa na vita.
idadi kubwa ya raia wapo maeneo ya kati kama wakimbizi.Wao na wapalestina hawachekani sana.
mlisema anaogopa kuingia Gaza , mwislamu si mtu wa kumuonea huruma , hakosi sababu akionewa huruma
 
Mambo ya story za six deiz war, na operation entebbe.
Mkuu Israel haina uwezo kupambana na Hezbollah, Hezbollah ni powerful asikuambie mtu.
siku za nyuma hz sifa walikuwa wanapewa hamas , yangu macho na,masikio , waislam watakuja na story mupya
 
muda si mrefu madhara watayapata raia wema ambao wanawatunza hao hizbollah na houth na mtaanza lia lia
 
ground ipi kwenye tunnels au ground ipi?
 
Nilichojifunza kwenye migogoro ya hivi karibuni watu wanazani Hivi vikundi vya ugaidi vinanguvu kushinda Israel kisa vinarusha makombora ovyo.
na Israel hakurupuki ili asije beba lawama., anammaliza Gaza then atageuza kisogo kwa Lebanon
 
kwan sa hv kule gaza wanapigana vita ya anga?
 
Kwa kweli Israel iendelee kupambana na Hamas tu, kupambana na Hezbollah ni issue ingine, Hezbollah wanaweza rusha makombora wiki nzima bila kunywa maji wala kupumzika.

Ameua wanamgambo wa Hezbollah Zaidi ya 100 tangu mashambulizi ya kigaidi ya Oct 7
 
Mbona hueleweki.Hakuna silaha nzito ambayo haijatumika Gaza ukiondoa nyuklia
Mpaka silaha haramu kama mabomu ya phosphorus yametumika na hayajafanikisha malengo.Hamas bado wapo na kila siku wanatoa takwimu za vita na hakuna mateka aliyeokolewa.
 
We endelea kupiga kelele hapa,huko shughuli ipo mahali pake,na ishaamuliwa hakuna poo ni kipigo tu.
Nia ya kushambulia ipo kutokana na kuchanganyikiwa kwa Israel.Suala ni jee huo uwezo bado upo na haendi bila msaada kutoka US.
US imetangaza rasmi haina tena msaada wowote uliobaki kwa Ukraine.Unadhani kama vita vtaendelea chini kwa chini kwa muda mrefu Israel itabaki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…