100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Unafikiri vita ni story za iron dome na six days war, hizo zilipendwa mzee, jeshi la ardhini Israel haina watu, sana sana wategemee air force, lakini air force pasipo kushuka chini ardhini kama mwanaume kupambana chocho kwa chocho, nyumba kwa nyumba hawatoshinda.Mnakuja na mambo ya kijinga kila siku huku mnachakazwa tu pamoja na kobazi wenzenu.
Kwa taarifa yako hizbollar ni kiporo tu atapigwa mpaka anye.
Kwanza waliingilia ugomvi huu wa Ghaza mapema tu oct 7,wakafurushwa mpk kwao.
Sasa kuna jipya hapo.
Wazayuni wanaenda kote huko ndo mana wamesema vita sio leo wala kesho itaisha.
Sera za kishoga hadi jeshini, lazima wapigwe tu.