Israel mambo yamewafika hapa. Watishia kuipiga Lebanon kama dunia itashindwa kuwaondoa Hizbullah mpakani. Je, wataweza?

Hizbullah iliisaidia sana serikali ya Syria ilipokuwa imelemewa mno na waasi mwaka 2013-2014, kabla ya Urusi kutia mguu pia mwaka 2015.

Hizbullah ina askari wenye uzoefu mkubwa
Hizbullah hata wakiamua kuvuka mpaka kuingia kaskazini ya Israel basi Israel hawataweza kuwazuia.Kama ilivyosemwa morali ya kupigana ya IDF iko chini baada ya kushuhudia ugumu kule Gaza.
 
russia naye anakiwasha upya ukraine

hukunisrael anaomba poo

usa hajui asimame wapi katika haya yote

kifupi ushawishi wa usa umefifia sana
Wagomvi wa Israel wamepewa msaada mkubwa kummaliza adui yao.
Mipango ya Mungu ina hekima sana.Marekani ambaye ndiye mlinzi na mfadhili wa Israel(adui wa Mungu) amedhoodishwa sana kwa kuingizwa kwenye mizozo kibao bila kupata ushindi.
Marekani ameshindwa kufikia malengo,Afghanistan,jIraq,Venezuela,Syria,Libya,Somalia,Ukraine na kadhalika.
Hana nguvu tena za kumlinda Israel dhidi ya wale aliowapiga mwaka 1967.
 
kivip, kwan tulikua tunajadiliana au tulikuwa kwenye battle mzee?,kujadiliana lazma mfkie lengo moja ambalo ndo hilo aman dunian au mwenzangu aman gaza tu au mihemko tayar
Heheeeeee vijana mna shida gani nyie aseeee
Hem nisome tena nisome tena halaf unisome tena
Kama utakua hujanielewa ntakuelewesha nlimaanisha nini
Sijawahi kua na mihemko kwenye majambo za maana
 
Heheeee vijana mna shida gani
Wewe si ulisema kua mwenye nguvu ndio hua anamuanza mnyonge
Nimekuuliza kama hamas ananguvu kuliko israhell ndio maana akaanza kumvamia naona unaanza kuruka ruka kama bisi kikaangoni
Nimeongelea uchumi tokea kuanza kwa hii mbungi kijana israhell wanalia lia tu watu wanatolewa makazini amani hakuna wanahamishwa hamishwa tu
Kwenye mpaka wa Lebanon kule wanahamishwa hapo mpaka wa ghaza wamehamishwa wanahangaika tu
Wakat kule iran maisha yanaendelea kama kawaida
 
russia naye anakiwasha upya ukraine

hukunisrael anaomba poo

usa hajui asimame wapi katika haya yote

kifupi ushawishi wa usa umefifia sana
United Shits Of Americant kwa sasa imekua yakawaida sana
Maana kila anaeenda kumsaidia ndio kama anamtia nuksi
 
Hizbullah iliisaidia sana serikali ya Syria ilipokuwa imelemewa mno na waasi mwaka 2013-2014, kabla ya Urusi kutia mguu pia mwaka 2015.

Hizbullah ina askari wenye uzoefu mkubwa, ila pia ni ukweli haina uwezo kuizidi Israel.
Hata kundi la Wakurdi la YPG lina uwezo mkubwa pale Syria na lina wapiganaji karibia laki. Ila miaka 10 sasa linapigana na Assad na halijamtoa. YPG haohao walishiriki kupigana na ISIS.
Sasa sijui jamii gani ya Kiarabu inajua kupigana kuliko Wakurdi.

Ni kwamba Israel inapigana kwa utulivu ikijua ipo salama na wala vita haipiganiwi ardhini kwake, ila ingekuwa imebanwa vikali ikiamua kupigana kivyovyote vile kama Assad, hao Hezbollah wala Hamas hawachukui round. Assad kabla jumuiya ya kimataifa haijaingia alikuwa anaweza kupiga salin gas eneo liliotekwa na waasi akapunguza kazi.

Israel itakuja kufanya maajabu endapo maadui zake wote wataungana alafu ipigane do or die.
 
Marekani anajulikana yupo na Israel hao magaidi walikuwa wanajua hilo, sio suala la kuwashtukiza. Mbona hulalamiki Hamas kusaidiwa na Iran? Mbona Israel hailalamiki bali inashambulia maofisa wa Iran wakiwa Syria, na wiki hii imemuua Brigadier General wao. Kazana acheni kulialia.

Kumbe tafsiri yako ya kushindwa vita ni kupambana karibia miezi mitatu. Tafsiri ya kutongozea ndio unaleta vitani.
 
Ukiona Israel anaomba mazungumzo na nchi wapate muafaka wa kisiasa basi ufahami hali mbaya kwake, huo ni mkwala tu anaishambulia Lebanon na yeye miji yake itachaka kwa makombora siyo mara ya kwanza vita vya mwanzo mpaka UN akaingilia kati.

Rita zainabu una nyege na hamas ww!!
 
hujaelewa point, nilikuambia kama hezbolah anajiona ana nguvu aanze yeye kuingia israel alafu ndo tutajua kwamba ana nguvu kweli ama la? mfano ni kama ngudu zako hamas walijiona wana nguvu ya kupambana na israel, wakaingia israel na kuanzia kuanzisha vita, nafikiri wanachokipata kwa sasa unakiona, sasa si mnasema hezobal wana nguvu ya kupambana na israel, waambieni na wao waingie israel kama walivofanya hamas, ili tuone sasa hiyo nguvu yao? umenielewa shehe au umedamkia supu ya kitimoto?
 
Acha kuandika kwa mihemko na kuandika upuuzi we jamaa , vita haipiganwi kwa mdomo ,vita sio movies kama wajinga ninyi mnavyofikiri
Vita ni ngumu siku hizi ,mbinu zimeevolve na watu wamekuja na strategies tofauti , acheni story za abunuwasi hizo za Israel sijui kumpiga nani ,Israel kawashindwa Hamas ndio unadhani itakuwa mterezo kwa battle proven and toughened Hezbollah au Houthis
Unajua Hezbollah wamepigana vita ngapi tangia 2006 ?
Hujui mchango wa Hezbollah kwenye ile Syrian war na kuulinda uongozi na serikali ya Asad WA Syria kuendelea kuexist ?
Unajua vita walizopigana na ISIS na waasi kule Syria na kufanikiwa kulisaidia jeshi lililokuwa karibuni kushindwa la Assad
Acha ujinga mkuu ,fanya utafiti kabla ya kuandika utumbo wako huu
 
hamas wamerusha kwa miaka 9 mfululizo ila kuvamia ndo imewakera Idf , siku ukija kujua kuwa hamas ni bora kuliko hao utopolo wako utajicheka mwenyew , hizbollah kupigana nao ni sw na kuivamia Lebanon ambao pia hawaitambui hizbollah km jeshi rasmi
Una mavi kwenye fuvu lako hilo ,yaani Hezbollah ndio uwalinganishe na Hamas ?
Kapimwe mkojo
Yaani huwezi hata kuingia Google ukiangalia comparative analysis ya resources ya silaha ,watu na experience ya vita na ubora wa mbinu za kivita waliyona nayo Hezbollah na Hamas ?
Pumbav
 
Huyo jamaa niishamzarau kitambo sana. Hezbollah ni Wagner2. Wana silaha za kisasa mpaka air defense.
 
U Unajua madhumuni ya kuundwa/kuanzisha hezbollah?
 
Hiyo ndio kauli sahihi ambayo Israel walipaswa kuitoa muda mrefu...

Sababu hata wakikaa kimya, haiwezi tokea majirani zake waipende Israel...

Kilichobaki ni Israel kujilinda, kujihami na ikiwezekana kuingia vitani...
 
Acha upumbafu, Israel na USA kila siku ni kuilalamikia Iran kuwa ndio inayofadhili Hezbolla, houths na Hamasi
 
Atamaliza gaza lini eneo km kigamboni anasaidiwa na mataifa yote makubwa dunia na anashindwa kuokoa mateka wake
Akisema atumie nguvu hiyo unayoitaka huko gazi kutabaki Palestine yeyote?. Mpaka Sasa Israel imeingiza wanajeshi Wachache sana huko Gaza mfano brigade ya Golan alituma robo yake na ameirudisha Israel. Lakini mbali na kuingiza wanajeshi Wachache tunawasikia mnavyoangua kilio na kulaani kwamba mnafanyiwa massacre.
 
Basi kesho asubuhi iondoeni Israel kama usemayo Ni kweli
 
Heheeeeee vijana mna shida gani nyie aseeee
Hem nisome tena nisome tena halaf unisome tena
Kama utakua hujanielewa ntakuelewesha nlimaanisha nini
Sijawahi kua na mihemko kwenye majambo za maana
hilo cheko lako la heheeeee!! Mbona km nanii hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…