Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #101
Hizbullah hata wakiamua kuvuka mpaka kuingia kaskazini ya Israel basi Israel hawataweza kuwazuia.Kama ilivyosemwa morali ya kupigana ya IDF iko chini baada ya kushuhudia ugumu kule Gaza.Hizbullah iliisaidia sana serikali ya Syria ilipokuwa imelemewa mno na waasi mwaka 2013-2014, kabla ya Urusi kutia mguu pia mwaka 2015.
Hizbullah ina askari wenye uzoefu mkubwa