Israel mambo yamewafika hapa. Watishia kuipiga Lebanon kama dunia itashindwa kuwaondoa Hizbullah mpakani. Je, wataweza?

Israel mambo yamewafika hapa. Watishia kuipiga Lebanon kama dunia itashindwa kuwaondoa Hizbullah mpakani. Je, wataweza?

Hezbollah inao uwezo wa kupigana na jeshi la Syria hii ya sasa iliyodhoofika?

Hezbollah ina uwezo wa kuipiga Misri?

Hezbollah ina uwezo wa kuipiga Jordan?

Hizo nchi tatu zote Hezbollah haina uwezo wa kuzipiga. Na zote hizo hakuna ya kuipiga Israel.

Tufanye hivi, Lebanon wasiiguse Hezbollah. Israel iivamie Lebanon, wewe waombe Hezbollah wasije peke yao waje na jeshi la Lebanon kwa pamoja uone kama watashinda.
Maneno mengi yasifa kama kawaida yako, tuambie kwanza Kwa nini mpaka Sasa kashindwa wamaliza Hamas?. Kipindi hichi sio chakuhadisiwa tena kama zamani teknolojia imekua kubwa hata ufiche vipi mambo yakweli yatadhihirika tu. Anapambana na kundi ambalo halina hata drone moja lakini linamtoa jasho, kundi ambalo tuliambiwa analifuta ndani ya siku 2 Leo imekua miez 3. Nguvu za Israel ziko wapi?.
 
Wanadhani Hezbollah hapigiki. Uzuri wa Lebanon kuna serikali inayotambulika kimataifa, tofauti na Gaza. Kule Gaza unaweza sema Hamas ni kundi la kigaidi hivyo ukalaumiwa kuingia. Kule Lebanon utasema ni nchi halali inayoruhusu watu wake kuivamia Israel.

Unaingia Lebanon jeshi lao likikuzuia unapigana nalo, hakichukui muda sababu halijifichi shuleni na hospitalini. Hezbollah wakirusha makombora unarusha makombora mazito. Israel haijatumia cruise missiles wala MLRS dhidi ya Hamas sababu ni magaidi wamehodhi eneo la raia ila kwa Lebanon zinatumika vizuri.
Acha story zako Mzee Kila mtu anaona, kashusha majengo yote hizo siraha atatumia wapi?. Atumie kwawatu ambao Wana SMG tu?. Siraha zote unazosema akirusha anashusha majengo tu lakini hagusi hawamsi, Hamasi wanajulikana wapo underground awafate huko, wajifunze Russia alichofanya BAKHAMUT, halafu pia hao HAMAS ndio wanatawala Gaza Kisheria kabisa.
 
Msichoelewa kwa fitna za Islaer,Lebanon ni nchi isiyo na kila kitu,mpaka sarafu imekufa.nchi haina mafuta,maji,umeme na mpaka serikali haieleweki.
 
Nadhani vita hii itatanua sana mipaka ya Israel Kwa kurejerea mipaka halisi ya Canan kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha hesabu 34 kwenye biblia Kwa waiaminio.
 
Vita Hamas, objectives za IDF ni kurudisha mateka, je wamefanikiwa?
mkuu israel wanaroho ngumu af ukichunguza vzur ni km wako tayari kuwatoa sadaka hao mateka kwaajili ya kizaz chao kijacho.lengo lao ni kuifanya gaza kuwa sehem maskin,ya tabu na pasipo faa kuish mpaka sasa ukitazama gaza ni kama mji wa mizimu.gaza pana sikitisha watu wake wanakutaman ww unae wapa sifa huku umekunja 4 ukinywa kikombe cha maziwa
 
Huu uongo kwasababu wao ndio walikua wanacontrol media,Hollywood, sasa hivi kila uongo wanaotoa wanaabika
Kwahiyo unataka kusema middle East walishinda? 😄😄😄
 
Mmoja ya waziri katika baraza la vita la Israel, Benny Gantz ameweka wazi kuwa muda wa majadiliano unakaribia kuisha na kwamba nchi yake itaingia kuipiga Lebanon yote iwapo Serikali ya nchi hiyo na dunia kwa ujumla watashindwa kuwaondoa wapiganaji wa Hizbulah kutoka mpakani kaskazini ya Israel.

Kauli hiyo imekuja baada ya jana HIzbullah kunyesha mvua nyIngine ya makombora ndani ya Israel.
Suala ni jee IDF wana uwezo huo tena huku wakiwa hawajafanikiwa kwa malengo yake ya kuivamia Gaza ikiwa ni kujpigana na jeshi ambalo lina silaha zaidi kuliko Hamas?

Kauli kama hiyo tayari wameshaitoa kwa wanamgambo wa Houth walio kusini yake japo mbali na mpaka. Bado hawajatekeleza kitisho hicho.

Israel Gaza war: Israel warns Hezbollah and Lebanon over border fighting

Sio kwamba wanatishia na watawapiga kweli wamesema watachukua ukanda ule na kuukalia mazima, kusema dunia ni kuujulisha UN ok
 
Israel kwenye vita ita focus sana kwenye air force hilo kila mmoja analifahamu. Lakini kwa ground watachakazwa mno.
Lakini hawatoweza kuzuia rocket attacks kutoka kwa Hezbollah.

Point ya kushinda vita ni kufanikisha objectives zako, kufanikisha malengo flani, sasa hapo Israel atashinda vita vipi?
Israel haina huo uwezo, inapigana na warusha mawe hadi leo hamna kitu, wameshindwa kurudisha mateka wapo pale pale Gaza.
Alafu nyie waislam vita hamjui mnachokijua ni kuutesa akina FaizaFoxy tu, Israel imeiambia dunia (UN) kwamba uvumilivu wake unakaribia kufia mwisho, so wataingia kuchukua yale maeneo ambayo Hizbullah inayatumia kuushambulia Israel ok, na Israel iko serious itayachukua na kuyakalia kama Golan heights so kama unaleta ujuaji wenu wa kiislam na nguvu hamna hayo ni yenu
 
Acha story zako Mzee Kila mtu anaona, kashusha majengo yote hizo siraha atatumia wapi?. Atumie kwawatu ambao Wana SMG tu?. Siraha zote unazosema akirusha anashusha majengo tu lakini hagusi hawamsi, Hamasi wanajulikana wapo underground awafate huko, wajifunze Russia alichofanya BAKHAMUT, halafu pia hao HAMAS ndio wanatawala Gaza Kisheria kabisa.
Huo uharibifu wa Gaza mostly ni kwa kutumia D9 bulldozers, au Mk-82 500lb bombs sometimes zinafungwa JDAM, shelling ya meli kiasi kidogo, bunker busters ndogo kwa ajili ya turners na mara chache drone strikes zikifanya precision strikes.

Hivyo ni vitu vichache kwa walivyonavyo Israel, hawajajimaliza bado wana silaha nzito nyingi. Hamas ndio wameishiwa mbinu kila kitu wametumia. Sasa Israel ikipigana na Lebanon inapigana na taifa, na bado haiwezi weka nguvu nyingi kama inavyoweza pigana na Iran.

Issue ya Bakhmut ni tofauti, Ukraine ilifanya evacuation ya raia. Urusi ilitumia artillery kuharibu mji, wakati Israel haiwezi tumia artillery Gaza sababu haipigi kuharibu, inapoharibu ni penye turners, rocket launchers na viongozi wa Hamas.
Kutumia artillery dhidi ya Gaza mbona ingefutika muda mrefu.
 
Maneno mengi yasifa kama kawaida yako, tuambie kwanza Kwa nini mpaka Sasa kashindwa wamaliza Hamas?
Unatumia vigezo gani kusema ameshindwa?
Kipindi hichi sio chakuhadisiwa tena kama zamani teknolojia imekua kubwa hata ufiche vipi mambo yakweli yatadhihirika tu.
Golan heights ya Syria baada ya kushindwa vita iko chini ya Israel. Hii nayo ni historia

West Bank ilikuwa sehemu ya Jordan iko chini ya Israel sasahivi. Nayo ni historia hii
Anapambana na kundi ambalo halina hata drone moja lakini linamtoa jasho, kundi ambalo tuliambiwa analifuta ndani ya siku 2 Leo imekua miez 3
Mliambiwa na nani, nyinyi kama nani na mliambiwa lini na wapi. Leta evidence
Nguvu za Israel ziko wapi?.
Macho unayo ila huoni. Juzi hapo Jenerali wa Iran kauwawa, wameufyata.
 
Back
Top Bottom