Israel mambo yamewafika hapa. Watishia kuipiga Lebanon kama dunia itashindwa kuwaondoa Hizbullah mpakani. Je, wataweza?

Nilichojifunza kwenye migogoro ya hivi karibuni watu wanazani Hivi vikundi vya ugaidi vinanguvu kushinda Israel kisa vinarusha makombora ovyo.
Bado hujajifunza kitu kumbe
Moja hamas Hizbullah na houthi sio magaidi hujajifunza
Pili uwezo wao haujapimwa kwa kurusha makombora hovyo umepimwa kwakuweza kupambana na magaidi ambao jeshi bora zaidi ya miezi mitatu imepimwa kwakuweza kuwatwanga mossad shinbet na wengine tukio la kustukiza wakiwa hapo hapo getini kwao bila kujua
Na mwisho kabisa kwamuda wamiezi mitatu imeweza kuwazuia mateka walio wateka hapo hapo israhell wakawaweka hapo hapo ghaza kwa muda wa miezi mitatu bila israhell kujua walipo nabila kujua namna yakuwakomboa
Hujajifunza bado
 
Nadhani vita hii itatanua sana mipaka ya Israel Kwa kurejerea mipaka halisi ya Canan kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha hesabu 34 kwenye biblia Kwa waiaminio.
Kuna nchi itakubaliana na Hilo?
20231107_191519.jpg
 
wakati Israel haiwezi tumia artillery Gaza sababu haipigi kuharibu, inapoharibu ni penye turners, rocket launchers na viongozi wa Hamas.
Huo uharibifu wa Gaza mostly ni kwa kutumia D9 bulldozers, au Mk-82 500lb bombs sometimes zinafungwa JDAM, shelling ya meli kiasi kidogo, bunker busters ndogo kwa ajili ya turners na mara chache drone strikes zikifanya precision strikes.

Hivyo ni vitu vichache kwa walivyonavyo Israel, hawajajimaliza bado wana silaha nzito nyingi. Hamas ndio wameishiwa mbinu kila kitu wametumia. Sasa Israel ikipigana na Lebanon inapigana na taifa, na bado haiwezi weka nguvu nyingi kama inavyoweza pigana na Iran.

Issue ya Bakhmut ni tofauti, Ukraine ilifanya evacuation ya raia. Urusi ilitumia artillery kuharibu mji, wakati Israel haiwezi tumia artillery Gaza sababu haipigi kuharibu, inapoharibu ni penye turners, rocket launchers na viongozi wa Hamas.
Kutumia artillery dhidi ya Gaza mbona ingefutika muda mrefu.
Hio sentence hapo juu imekaa kinafiq sana kwa makusudi ama bahati mbaya ila imekaa kinafiq sana
Chanzo BBC jana tu sijajua kiongozi gani wa jeshini israhell anasema ijapokua tunajua anadanganya watu hawawezi kufanya lolote
Ila alisema kwamba wanataka eti waanze kufanya uchunguzi juu ya uharibifu uliofanywa kwenye kambi za wakimbizi sababu haukustahili kufanywa maeneo yale
Wewe leo unakuja unatwambia wanapo haribu sijui kwenye nini sijui kwenye nini sijui kwenye nini
Israhell hana kigezo maalum cha sehem anapotaka kuharibu yeye akijisikia tu anaharibu sababu anajua hakuna wakumhoji sasa wewe na msemaji sijui mwenye cheo gani huko jeshini sijui yupi aaminiwe juu ya huo uharibifu unaosema unafanywa sehem maalum
Israhell anapiga hovyo hata kama hakuna hayo uloyasema ndio maana kaua mpaka raia wake walokua mateka ndio maana kaua mpaka mwambata wa ufaransa
Kiufupi israhell anapigana sio kwamahesabu anaharibu tu
Mtu kashatumia mpaka white phosphorus huyu halaf unataka kutwambia nini hapa yaani unatumia white phosphorus dhidi ya hamas huu ni udhaifu wawazi kabisa hata kama mtatumia utetezi wa aina gani
Halaf hamas hawaja dhaifu kama ulivyo dai huko juu hamas wanapigana kama walivyoanza tokea israhell waingize foot kwa ground nandio maana vifo kwa upande wa wanajeshi wa israhell havipungui vinaongezeka
 
Macho unayo ila huoni. Juzi hapo Jenerali wa Iran kauwawa, wameufyata
Unatumia vigezo gani kusema ameshindwa?

Golan heights ya Syria baada ya kushindwa vita iko chini ya Israel. Hii nayo ni historia

West Bank ilikuwa sehemu ya Jordan iko chini ya Israel sasahivi. Nayo ni historia hii

Mliambiwa na nani, nyinyi kama nani na mliambiwa lini na wapi. Leta evidence

Macho unayo ila huoni. Juzi hapo Jenerali wa Iran kauwawa, wameufyata.
Hii kauli nyengine yakimahaba kwakujua ama kwakuto kujua
Ulitaka iran wafanye nini ili ujue kama hawajaufyata kama kusema watalipa kisasi wamesema nisuala lakungojea na kuona
Hata alivyouliwa soleiman walisema watalipa kisasi na hawakulipa siku ile ile walosema ila kisasi kililipwa
Suala la iran kulipa kisasi haliepukiki yaani nisuala la muda tu
Kitalipwa ama watalipaje nikusubiri na kuona ila kusema iran kaufyata wakat kashatoa kauli tena rasmi nasio kama hujaisikia haya ni mahabba yawazi
 
Ukiona Israel anaomba mazungumzo na nchi wapate muafaka wa kisiasa basi ufahami hali mbaya kwake, huo ni mkwala tu anaishambulia Lebanon na yeye miji yake itachaka kwa makombora siyo mara ya kwanza vita vya mwanzo mpaka UN akaingilia kati.
Mmoja ya waziri katika baraza la vita la Israel, Benny Gantz ameweka wazi kuwa muda wa majadiliano unakaribia kuisha na kwamba nchi yake itaingia kuipiga Lebanon yote iwapo Serikali ya nchi hiyo na dunia kwa ujumla watashindwa kuwaondoa wapiganaji wa Hizbulah kutoka mpakani kaskazini ya Israel.

Kauli hiyo imekuja baada ya jana HIzbullah kunyesha mvua nyIngine ya makombora ndani ya Israel.
Suala ni jee IDF wana uwezo huo tena huku wakiwa hawajafanikiwa kwa malengo yake ya kuivamia Gaza ikiwa ni kujpigana na jeshi ambalo lina silaha zaidi kuliko Hamas?

Kauli kama hiyo tayari wameshaitoa kwa wanamgambo wa Houth walio kusini yake japo mbali na mpaka. Bado hawajatekeleza kitisho hicho.

Israel Gaza war: Israel warns Hezbollah and Lebanon over border fighting

Andaeni picha nyingi zaidi za watoto kwa ajili kusaidia kushare hapo baadaye.
 
Israel itakachofanya ni kuigeuza Lebanoni kama ilivyoifanya Gaza! Kuigeuza magofu.
Changamoto kwa Hezibollah na Hamas hawana Defensive Systems ya kujihami na makombora! Wanategemea mahandaki tu.
 
Hizbullah hawategemei sana mahandaki kama hamas
Pia Hizbullah ukipigana nayo sio utaigeuza Lebanon magofu israhell nayo itageuzwa magofu
Maana wao sio kama hamas wao wanapiga mpaka ndani kabisa ya israhell kwenyewe vyema kabisa
Hakuna sehem ya israhell ambayo haifikiwi na makombora ya Hizbullah yaani hakuna
Sawa AD zitazuia makombora 300 kwenye makombora 700 hayo 400 ambayo yatapenya ujue yatafanya israhell napo kupendeze
Israhell hana mpango wakuingia vitani na Hizbullah mbona hakuiomba dunia iwaondoe hamas aliingia mwenyewe moja kwa moja tuu?
 
Huo uharibifu wa Gaza mostly ni kwa kutumia D9 bulldozers, au Mk-82 500lb bombs sometimes zinafungwa JDAM, shelling ya meli kiasi kidogo, bunker busters ndogo kwa ajili ya turners na mara chache drone strikes zikifanya precision strikes.

Hivyo ni vitu vichache kwa walivyonavyo Israel, hawajajimaliza bado wana silaha nzito nyingi. Hamas ndio wameishiwa mbinu kila kitu wametumia. Sasa Israel ikipigana na Lebanon inapigana na taifa, na bado haiwezi weka nguvu nyingi kama inavyoweza pigana na Iran.

Issue ya Bakhmut ni tofauti, Ukraine ilifanya evacuation ya raia. Urusi ilitumia artillery kuharibu mji, wakati Israel haiwezi tumia artillery Gaza sababu haipigi kuharibu, inapoharibu ni penye turners, rocket launchers na viongozi wa Hamas.
Kutumia artillery dhidi ya Gaza mbona ingefutika muda mrefu.
Japo kila mtu ana mtazamo wake lakini saa nyingine mkuu maoni yako yanatia kinyaa.
Mpaka sasa Urusi imesha tumia tani 18000 za mabomu ndani ya Ukraine yenye jeshi lenye nguvu na yenye ukubwa wa eneo karibia na Tz kwa miaka 2, Marekani imetumia mabomu yenye uzito wa tani 28,000 nchini Afghanistan kwa miaka zaidi ya 20.
Lakini mpaka sasa Israel imesha dondosha zaidi ya tani 52,000 ndani ya gaza eneo linalo zidiwa ukubwa na kigamboni ndani ya miezi mitatu tu, hayo ni mashambulizi ya kiwango cha maangamizi makubwa,kwa hiyo hoja zako ulizo ziandika hapo hazina mashiko.

Kujaribu kuaminisha watu kuwa Israel ni bora ni sawa na kupamba mavi ukitaka watu waamini kuwa ni keki,au ni sawa na kupamba uharo na uwaaminishe watu kuwa ni mayai ya kukaangwa.
Kila mtu anaona kinacho endelea gaza mpaka sasa na jeshi la Israel halina uwezo zaidi ya huu wanao uonesha gaza.
Israel ingekuwa bora kama unavyo jaribu kutuaminisha basi Marekani asingekuwa anahaha kupeleka mameli na kuzilinda meli za Israel zinazo shambuliwa na wauthi.
Hizo hadithi zenu za sijui vita ya siku 6 zimesha pitwa na wakati , hata wauthi walipigana na mataifa karibia yote kiarabu yenye kila aina ya silaha na walio kuwa wanapokea habari za kijasusi kutoka kwa Marekani na Uingereza na wakashizishinda.

Kwenye vita ya siku sita Israel haukupata upinzani wowote ule ina maana sehemu kubwa aliiteka bila upinzani wowote hivyo alinufaika na woga na Unafiki wa waarabu na mpaka sasa anaendelea kunufaika nao, kama vipi nitajie ni battle gani ya maana alisha wahi kupigana Israel mfano battle ya Maliupol na Bhakhiumut.
Hizbulah na Israel wakiingia kwenye vita ya moja kwa moja Lebanon itachakaa , lakini pia Israel nayo itachakaa maana Hizbulah haina maroketi ya kienyeji kama Hamas bali yana makombora yanayo ongozwa kwa usahihi alafu mengi, alafu hiyo Israel ilisha furushwa na hiyo Hizbulah kwenye eneo la Lebanon.
 
Israel itakachofanya ni kuigeuza Lebanoni kama ilivyoifanya Gaza! Kuigeuza magofu.
Changamoto kwa Hezibollah na Hamas hawana Defensive Systems ya kujihami na makombora! Wanategemea mahandaki tu.
Hata Israel itageuzwa magofu, Hizbulah wana makombora yenye uwezo mkubwa tofauti na Hamas wenye vijiroketi vya kienyeji.
 
Japo kila mtu ana mtazamo wake lakini saa nyingine mkuu maoni yako yanatia kinyaa.
Mpaka sasa Urusi imesha tumia tani 18000 za mabomu ndani ya Ukraine yenye jeshi lenye nguvu na yenye ukubwa wa eneo karibia na Tz kwa miaka 2, Marekani imetumia mabomu yenye uzito wa tani 28,000 nchini Afghanistan kwa miaka zaidi ya 20.
Lakini mpaka sasa Israel imesha dondosha zaidi ya tani 52,000 ndani ya gaza eneo linalo zidiwa ukubwa na kigamboni ndani ya miezi mitatu tu, hayo ni mashambulizi ya kiwango cha maangamizi makubwa,kwa hiyo hoja zako ulizo ziandika hapo hazina mashiko.

Kujaribu kuaminisha watu kuwa Israel ni bora ni sawa na kupamba mavi ukitaka watu waamini kuwa ni keki,au ni sawa na kupamba uharo na uwaaminishe watu kuwa ni mayai ya kukaangwa.
Kila mtu anaona kinacho endelea gaza mpaka sasa na jeshi la Israel halina uwezo zaidi ya huu wanao uonesha gaza.
Israel ingekuwa bora kama unavyo jaribu kutuaminisha basi Marekani asingekuwa anahaha kupeleka mameli na kuzilinda meli za Israel zinazo shambuliwa na wauthi.
Hizo hadithi zenu za sijui vita ya siku 6 zimesha pitwa na wakati , hata wauthi walipigana na mataifa karibia yote kiarabu yenye kila aina ya silaha na walio kuwa wanapokea habari za kijasusi kutoka kwa Marekani na Uingereza na wakashizishinda.

Kwenye vita ya siku sita Israel haukupata upinzani wowote ule ina maana sehemu kubwa aliiteka bila upinzani wowote hivyo alinufaika na woga na Unafiki wa waarabu na mpaka sasa anaendelea kunufaika nao, kama vipi nitajie ni battle gani ya maana alisha wahi kupigana Israel mfano battle ya Maliupol na Bhakhiumut.
Hizbulah na Israel wakiingia kwenye vita ya moja kwa moja Lebanon itachakaa , lakini pia Israel nayo itachakaa maana Hizbulah haina maroketi ya kienyeji kama Hamas bali yana makombora yanayo ongozwa kwa usahihi alafu mengi, alafu hiyo Israel ilisha furushwa na hiyo Hizbulah kwenye eneo la Lebanon.
Duuh ona sasa sikuwahi ipata hii asee tena tani 52 elfu ndani ya miezi mitatu
Halaf kuna mtu anasema wana jeshi bora
Kiuhalisia israhell anatapa tapa tu huko ukanda wa ghaza kwakweli
Ngoja niingie mskitini kwanza niendeleze dua kwa ndugu zetu wa Palestine
Tusisahau nimuhimu sana kuwaombea ndugu zetu wa Palestine na dunia kwaujumla
Ila israhell aliisha feli muda mrefu sana
 
Mmoja ya waziri katika baraza la vita la Israel, Benny Gantz ameweka wazi kuwa muda wa majadiliano unakaribia kuisha na kwamba nchi yake itaingia kuipiga Lebanon yote iwapo Serikali ya nchi hiyo na dunia kwa ujumla watashindwa kuwaondoa wapiganaji wa Hizbulah kutoka mpakani kaskazini ya Israel.

Kauli hiyo imekuja baada ya jana HIzbullah kunyesha mvua nyIngine ya makombora ndani ya Israel.
Suala ni jee IDF wana uwezo huo tena huku wakiwa hawajafanikiwa kwa malengo yake ya kuivamia Gaza ikiwa ni kujpigana na jeshi ambalo lina silaha zaidi kuliko Hamas?

Kauli kama hiyo tayari wameshaitoa kwa wanamgambo wa Houth walio kusini yake japo mbali na mpaka. Bado hawajatekeleza kitisho hicho.

Israel Gaza war: Israel warns Hezbollah and Lebanon over border fighting

hadi sasaivi tunavyoongea, hezbullah waliokufa ni 126, wapiganaji sio raia. hapo hajaingia vitani. Israel anatoa onyo ili akianza kupiga msianze kusema "cease fire", where is the international community.
 
Duuh ona sasa sikuwahi ipata hii asee tena tani 52 elfu ndani ya miezi mitatu
Halaf kuna mtu anasema wana jeshi bora
Kiuhalisia israhell anatapa tapa tu huko ukanda wa ghaza kwakweli
Ngoja niingie mskitini kwanza niendeleze dua kwa ndugu zetu wa Palestine
Tusisahau nimuhimu sana kuwaombea ndugu zetu wa Palestine na dunia kwaujumla
Ila israhell aliisha feli muda mrefu sana
Ina hitaji ukichaa wa hali ya juu kulitetea jeshi la hovyo kama hili.
 
Kama waliwaunganisha middle East yote na kuwatandika, vipi hao Lebanon
Hizo ni propoganda tu alipigana na Misri na Syria tu, wakati Jordan ilikuwa inatoa siri kuwapa afu Israel vita vyote anavyo pigana anasaidiwa ma mataifa ya Western na America.

Wakati Israel anapigana na Misri na Syria alipiga nchi nyingine ya kiarabu? Hebu nipe alingia lini vita na Iraq, Morocco, Algeria. Saud arabia au Yemen? Wachilia zingine.
 
Ni
Israel iliyopigana na mataifa 10 ya kiarabu ndo washindwe na vikundi hivyo 3 kweli! Alizichapa nchi 10 hatimaye wakichukuliwa Jerusalem, Golan na Sinai. Hao hezibolla ndo wanawasha moto, watapigwa mpaka wachakae
Israel au ULAYA. Hata Sasa hivi vjivita vidogo na HAMAS wameomba usadizi wa silaha na wataalamu Marekani
 
Duuh ona sasa sikuwahi ipata hii asee tena tani 52 elfu ndani ya miezi mitatu
Halaf kuna mtu anasema wana jeshi bora
Kiuhalisia israhell anatapa tapa tu huko ukanda wa ghaza kwakweli
Ngoja niingie mskitini kwanza niendeleze dua kwa ndugu zetu wa Palestine
Tusisahau nimuhimu sana kuwaombea ndugu zetu wa Palestine na dunia kwaujumla
Ila israhell aliisha feli muda mrefu sana
Amefeli namna gani !?

Mtu unapigwa ukiwa kwako,, una uliwa isivyo kawaida.

Kufaulu kwa hamas kuko wapi mpka sasa!??

Na kufeli kwa Israel kuko wapi!??

Tanzania tulivamiwa na Uganda unakumbuka hili na tuka mpiga mganda hadi kwake.

Huu ndio ushindi sasa ambao Israel anaonesha apo Gaza.
Sasa unataka afaulu namna gani!?
 
kuwa mkweli nani anae kiona cha moto mpaka sasa kati ya waarabu wa gaza au waisrael.kuwa mkweli usitumie mihemko
Sijawahi kutumia mihemko sehemu yeyote ile
Naukiona mihemko ujue kwako ila kwangu pengine ndio udogo wa akili yangu ulipoishia
Hua natumia mihemko kwenye mambo yautani labda ila sio mambo yamsingi hasa yanayohusu roho na maisha ya watu kwaujumla wake
Nimpuuzi pekee ama mjinga pekee atakae kanusha adha madhila na mateso wanayoyapitia wapalestine pale ukanda wa ghaza
Narudia tena Nimpuuzi pekee namjinga pekee atakae kanusha adha madhila na mateso wanayoyapitia wapalestine pale ukanda wa ghaza
 
Ina hitaji ukichaa wa hali ya juu kulitetea jeshi la hovyo kama hili.
Kabisaaa halaf kuna mtu anatokea anasema israhell wanapigana kistaarab inastaajabisha
Mpaka wakuu wao wenyewe huko jeshini wanataka kufungua kesi za uchunguzi dhidi ya jeshi lao (ingawa tunajua kama wanauhadaa ulimwengu)
Kwakusema wanapiga mpaka sehem ambazo hazikustahili kupiga tena sio mara moja mbili wala tatu
Maana yake wao wanarusha tu mabomu maadam wanaua basi hawajali
 
Amefeli namna gani !?

Mtu unapigwa ukiwa kwako,, una uliwa isivyo kawaida.

Kufaulu kwa hamas kuko wapi mpka sasa!??

Na kufeli kwa Israel kuko wapi!??

Tanzania tulivamiwa na Uganda unakumbuka hili na tuka mpiga mganda hadi kwake.

Huu ndio ushindi sasa ambao Israel anaonesha apo Gaza.
Sasa unataka afaulu namna gani!?
Ukienda kwenye mechi fulani
Ikawa malengo yenu mushinde ili musonge mbele au mubebe kombe fulani ndio malengo
Halaf kwa bahati mbaya hamkufungwa mukatoa suluhu (sare) namkacheza sana mpira mkagonga sana miamba na magoal ya offside
Hapa mtakua mmefikia lengo lenu ama mmefeli
 
Back
Top Bottom