Israel mambo yamewafika hapa. Watishia kuipiga Lebanon kama dunia itashindwa kuwaondoa Hizbullah mpakani. Je, wataweza?

Israel mambo yamewafika hapa. Watishia kuipiga Lebanon kama dunia itashindwa kuwaondoa Hizbullah mpakani. Je, wataweza?

Hata hamas wanawangojea magaidi wa israhell wakae kwenye 18 wawatifue ndio maana wanajificha huko chini
Kama mnaweza kawafateni
Wanawangojea wapi wakati wakati Israel ipo Gaza, halafu kwann Hamas wasiwalinde raia wao?
 
Wewe unayedhani una akili kwanini usiwaambie hao Hezbollah waivamie Israel. Si wako wanapakana kabisa. Unadai vita haipiganwi kwa mdomo wakati hao Hezbollah wako wanatoa matamko kila siku, na mkuu wao Nasrallah alibwabwaja hamna kitu alilenga, akajiondoa kuhusika na mashambulizi na hakutoa support. Si waache kuchonga midomo waingie vitani uone kama hawapukutiki.

Ni lini vita ilikuwa rahisi mpaka useme imekuwa ngumu siku hizi?
Alafu unalinganishaje vita ya zamani na ya sasa kisha unasema ya sasa ni ngumu. Yani unachukua kama Battle of Somme au Stalingrad au Battle of Hurtgen forest unalinganisha na battle uchwara hizi za Bakhmut na Gaza? Au umetokea kwenye kutazama katuni hii ndio vita yako ya kwanza kufuatilia.

Hezbollah mpaka tunakaribia Christmas ilikuwa imetangaza wapiganaji wake 117 wamekwishauwawa na Israel. Na hapo hawapo vitani, sasa kwanini usiwaombe Hezbollah waingie vitani na Israel tena kwa kutumia kisingizio cha wapiganaji wake 117 kuuwawa?

Battle proven wako 117+ wamefariki vita haijaanza, ikianze je!

Unajua Israel imepigana vita ngapi tangu 1948?

Assad alikuwa na jeshi lake mwenyewe, Russia, Iran, makundi ya Wakurdi, Yazidi, Houthi na wengine hao Hezbollah. Mpaka sasa Assad hana umiliki wa nchi nzima. Sasa ajabu walilofanya Hezbollah ni nini?

Nami nikuulize unaujua mchango wa mashambulizi ya Israel dhidi ya majeshi ya Iran hapohapo Syria?
Unamjua marehemu Brigadier General Mosuavi wewe?

Kwahiyo leo hii mnasema aliyeisaidia Syria dhidi ya ISIS ni Hezbollah. Sio Iran na Russia tena? Msimamo huu mtaendelea nao au ikitokea Iran inapigana na Israel mtaubadili mseme Iran ndio ilipigana na ISIS.

Syria ni nchi weak na ndio hiyo bado mnataka ijilipue ipigane na Israel. Sasa nchi weak kutekwa na waasi na wanamgambo wa Kiislamu ni ajabu?
Sasa ulitaka Hizbullah waseme wamehusika wakati hawaja husika na lolote
Yaani mnadhani watu wote waongo kama marekani dhidi ya iraq
Hamas wenyewe wanakwambia kama jambo lilifanywa siri sana na walikata mazungumzo na waungaji mkono wao toka nje miezi mitatu kabla ya tukio na wakaongeza kwamba walokua wanajua muda siku na saa ya tukio ni watu watatu tu tena walikua ndani ya ghaza
Sasa unawalazimishaje Hizbullah waseme wali husika kama wangehusika wangesema na hakuna wakuwafanya lolote lile yaani
Kama kwasasa wanapiga mpaka vituo vya kijeshi ndani ya israhell na wapo pale pale unadhani wangeshindwa kusema kama wanahusika
Iran na Hizbullah wamesema wazi kama hawakuhusika na tukio ila baada ya kutokea wanaliunga mkono kwa 💯
Kama suala assad kukosa udhibiti wa Syria yote hata ukraine ambapo wanapata msaasa mpaka wasupa pawa wa dunia napo bado wamepoteza mpaka sasa 17%ya nchi yao ipo chini ya Russia bbc
Unadhani israhell anapenda raia wake wahame hame kule mpakani na Hizbullah hapendi ila hana uwezo wa kuifanya Hizbullah isiwashambulie sababu angeweza angewahamisha ili raia wake waishi kwaamani
Mchango wa iran umeisaidia hamas kujijenga na kuivamia israhell na wakaua zaidi ya watu 1400 kwa siku moja
Unadhani watu 1400 na hao majeneralu wanaokufa hapo syria wapi wanathamani israhell aiondoe Hizbullah pale mpakani la sivyo watateseka sana nasio kama hatamani kukaa pale bila Hizbullah anatamani ila uwezo wakuwaondoa hana maana kama 2006 alishindwa atatumia njia ipi kuweza mara hii
Ghaza alipodhania ataweza ana mwezi wa tatu huu anahangaika hajaangamiza hamas hajakomboa mateka
 
Wanawangojea wapi wakati wakati Israel ipo Gaza, halafu kwann Hamas wasiwalinde raia wao?
Kama israhell wangekua wanalinda raia wao wasingeweza kupoteza raia 1400 kwa siku moja
 
Mmoja ya waziri katika baraza la vita la Israel, Benny Gantz ameweka wazi kuwa muda wa majadiliano unakaribia kuisha na kwamba nchi yake itaingia kuipiga Lebanon yote iwapo Serikali ya nchi hiyo na dunia kwa ujumla watashindwa kuwaondoa wapiganaji wa Hizbulah kutoka mpakani kaskazini ya Israel.

Kauli hiyo imekuja baada ya jana HIzbullah kunyesha mvua nyIngine ya makombora ndani ya Israel.
Suala ni jee IDF wana uwezo huo tena huku wakiwa hawajafanikiwa kwa malengo yake ya kuivamia Gaza ikiwa ni kujpigana na jeshi ambalo lina silaha zaidi kuliko Hamas?

Kauli kama hiyo tayari wameshaitoa kwa wanamgambo wa Houth walio kusini yake japo mbali na mpaka. Bado hawajatekeleza kitisho hicho.

Israel Gaza war: Israel warns Hezbollah and Lebanon over border fighting

Hana ubavu wa kuanzisha front nyingine, hii ya Gaza tu inamkata upepo hadi Biden na Blinken wanalazimika kutoa siraha kimagumashi nyuma ya mgongo wa congress ili ku supply mahitaji ya shells za 155mm kama charger, fuse na primer. Nchi ambayo ndani ya miezi 2 tu ya vita tena inapigana na kikundi cha masela ndani ya eneo linalolingana na bagamoyo ataweza kupigana na watata dizain ya Hizbullah? wanajimwambafai tu
 
Na leo mnakiri Hamas inaua raia?Sasa kelele mnazopiga za Nini?
Anaepiga kelele nani ngoja nikwambie kitu
Kila raia alokua juu ya miaka 🔞 wa israhell anaekalia ardhi za Palestine anastahili kufa
 
Anaepiga kelele nani ngoja nikwambie kitu
Kila raia alokua juu ya miaka 🔞 wa israhell anaekalia ardhi za Palestine anastahili kufa
Hata wapalestina hivyohvyo Ni halali kufa hata wangali bado tumboni, na hii ipo kimaandiko
 
Hamas hawana hadhi ya kupigwa nyuklia, hao ni vikojozi wanatakiwa wachapwe viboko tu.
Israel sio kama Russia, Israel haijawahi tishia yeyote wala kufanya maonyesho ya silaha zake za nyuklia.

Swali: Ni lini serikali ya Israel iliwahi sema ina silaha za nyuklia?

Huwezi tishia kitu unachokataa kuwa nacho, sasa Israel itatishiaje nukes na wakati haijawahi kubali kuwa nazo.
Ww jamaa kumbe hata sio mfuatiriaji wa habari zinazo endelea duniani ndio maana unaongoza kuandika mashudu humu, aliye toa tishio la kutumia nyukilia ni mojawapo ya mawaziri wanao unda baraza la vita lililo undwa na Netanyau sasa kama ww hujui basi inabidi tukushangae uko dunia gani kwa sababu vyombo vyote vya habari viliripot hii habari.

Hao hamas wenye hadhi ya kupigwa viboko si ndo hao ambao wamesha dondoshewa mabomu yenye uzito wa tani elfu 52 moja wapo yakiwa ya sumu idadi ambayo haijawahi kutumiwa tangu vita ya Vietnam?
Si ndo hao hao ambao ndo wamewashikilia mateka mwezi wa tatu jeshi teule halijaweza kuwakomboa?

Si ndo hao walio ifanya mpaka sasa uchumi wa Israel unapumulia mashine?

Si ndo hao hao ambao wamesha uwa wanajeshi wenu zaidi ya 500 na kuharibu vifaa zaidi ya 850 vikiwemo vifaru vyenu mlivyo kuwa mnatumbia havipigiki?

Ww jamaa usipo angalia utakuwa mwehu maana hii sio kawaida.
 
Sasa kama unaona kutumia white phosphorus kulipo katazw. Yeye anaona a sio shida kwanini ulimgusia assad
Hapa kilichoongelewa ni kwamba zimetumika silaha zilizopigwa marufuku haijalishi zilitumika wapi wala wapi
Hao walozipiga marufuku hawakuyajua haya unayoyasema wewe
Israhell washatishia mpaka kutumia nyuklia kwa hamas tu sijui unataka kutwambia nn 🤔
Achana naye huyo mjinga. Mbona hakusikika hapa juzi kati USA alipopeleka mabomu Ukraine mabomu yaliyopigwa marufuku na sheria za umoja wa mataifa.

Hii misukule ya kimagharibi ni mijinga sana. Israel anapiga mabomu hospital na kuaribu vyanzo vya maji na ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa lakini wao kutwa wanashangilia. Sasa mambo hayo yafanywa na upande mwingine masikio yataziba kwa makelele yao
 
Achana naye huyo mjinga. Mbona hakusikika hapa juzi kati USA alipopeleka mabomu Ukraine mabomu yaliyopigwa marufuku na sheria za umoja wa mataifa.

Hii misukule ya kimagharibi ni mijinga sana. Israel anapiga mabomu hospital na kuaribu vyanzo vya maji na ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa lakini wao kutwa wanashangilia. Sasa mambo hayo yafanywa na upande mwingine masikio yataziba kwa makelele yao
Itifaki imezingatiwa
Ila sasa shida kuna mambo hua unaona kabisa anawatia watu chaka halaf unayasikia unayaona unaona hapana
Russia aliwahamisha tu watoto wa ukraine toka kwenye vita akawapeleka safe place akaekewa vikwazo
Ila wapuuzi wnapiga hospital na kuua watoto wanaungwa mkoni na hawa jamaa
Hehehe
 
Achana naye huyo mjinga. Mbona hakusikika hapa juzi kati USA alipopeleka mabomu Ukraine mabomu yaliyopigwa marufuku na sheria za umoja wa mataifa.

Hii misukule ya kimagharibi ni mijinga sana. Israel anapiga mabomu hospital na kuaribu vyanzo vya maji na ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa lakini wao kutwa wanashangilia. Sasa mambo hayo yafanywa na upande mwingine masikio yataziba kwa makelele yao
Kuua raia wa Israel wasio na hatia siyo ukiukwaji wa sheria za kimataifa?
 
Hezbollah inao uwezo wa kupigana na jeshi la Syria hii ya sasa iliyodhoofika?

Hezbollah ina uwezo wa kuipiga Misri?

Hezbollah ina uwezo wa kuipiga Jordan?

Hizo nchi tatu zote Hezbollah haina uwezo wa kuzipiga. Na zote hizo hakuna ya kuipiga Israel.

Tufanye hivi, Lebanon wasiiguse Hezbollah. Israel iivamie Lebanon, wewe waombe Hezbollah wasije peke yao waje na jeshi la Lebanon kwa pamoja uone kama watashinda.
Unabishana na form four failures.Utafanana nao!
 
Kuua raia wa Israel wasio na hatia siyo ukiukwaji wa sheria za kimataifa?
Ukiukwaju wa sheria za kimataifa vile vile kosa halilekebishwi kwa kutenda kosa kubwa zaidi

Vile vile Israel hiwache kuizingira gaza na kuzuia kila kitu kuingia na wapalestina wapate uhuru wake, nakuhakikishia hutaona wala kusikia Hamas wakifanya mauaji.
 
Back
Top Bottom