Israel Mwenda asipojifunza kwa Gadiel Michael na Beno Kakolanya kipaji chake kitaishia kwenye benchi la Simba SC

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Gadiel Michael na Beno Kakolanya walikua ni wachezaji tegemezi ndani ya kikosi Cha Yanga SC.

Kakolanya alirubuniwa akatimkia Simba sc na kiwango chake kikashuka baada ya kukutana Aishi Manura akawa ni mchezaji wa kukaa benchi.

Gadiel Michael nae alienda Simba sc chaguo lake halikuzaa matunda Bali alikutana na benchi huku akimtazama Mohammedi Hussen uwanjani na kibarua kikawa kigumu kwa Gadiel Michael.

Nimeshangazwa sana kwenye mechi ya Simba dhidi ya Coastal union kumuona Israel Mwenda akifanyiwa Sub baada ubao kusoma namba ya Shomari Kapombe atoke lakini cha ajabu Israel Mwenda na Shomari Kapombe hawapeani mkono kabisa na hiyo inaonesha kuwa kuwa Kuna tatizo (uhasama) Kati ya Mwenda na Shomari.

Kwa kumshauri Mwenda atafute changamoto kwenye timu nyingine Kama alivyofanya Gadiel Michael na Beno Kakolanya kwenda Singida na Sasa wamekuwa wachezaji tegemezi ndani ya kikosi cha singida.

Walio Karibu na Mwenda wamshauri bwana mdogo akatafute changamoto sehemu nyingine.
 
Mwana yanga utoapo maoni kumwelekeza mchezaji wa Sinba, kikubwa ni kwamba atakudharau, tangu lini wewe umtakie mchezaji anayechezea Simba mema? Uwe unaona Aibu wkt mwingine kutoa ushauri kwa vitu vinavyoihusu Simba.
 
Nini maoni yako.
 
Mbu mbu mbu ni tatizo. Ko huoni ushauri huo ni wa maana?
 
Gadiel Michael na Beno Kakolanya walikua ni wachezaji tegemezi ndani ya kikosi Cha Yanga SC.

Kakolanya alirubuniwa akatimukia Simba sc na kiawango chake kikashuka baada ya kukutana aishi manura akawa ni mchezaji wa kukaa benchi.

Gadiel Michael nae alienda Simba sc chaguo lake halikuzaa matunda Bali alikutana na benchi huku akimtazama mohammedi hussen uwanjani na kibarua kikawa kigumu kwa gadiel Michael.

Nimeshangazwa sana kwenye mechi ya Simba dhidi ya Coastal union kumuona Israel Mwenda akifanyiwa Sub baada ubao kusoma namba ya Shomari kapombe atoke lakini cha ajabu Israel Mwenda na Shomari kapombe hawapeani mkono kabisa na hiyo inaonesha kuwa Kuwa Kuna tatizo (uhasama) Kati ya Mwenda na Shomari.

Kwa kumshauri Mwenda atafute changamoto kwenye timu nyingine Kama alivyofanya Gadiel Michael na Beno kakolanya kwenda Singida na Sasa wamekuwa wachezaji tegemezi ndani ya kikosi Cha singida.

Walio Karibu na Mwenda wamshauri bwana mdogo akatafute changamoto sehemu nyingine.
Mkuu, wewe unaeleweka ni UTOPOLO MWANDAMIZI! Lakini, thread zako karibia 90% hapa, ni kuiongelea Simba tu! Huna tofauti na Manara. Lakini yeye, sababu inaeleweka. Vipi, na wewe walikukosea nini?
 
Gadiel Michael na Beno Kakolanya walikua ni wachezaji tegemezi ndani ya kikosi Cha Yanga SC.

Kakolanya alirubuniwa akatimukia Simba sc na kiawango chake kikashuka baada ya kukutana aishi manura akawa ni mchezaji wa kukaa benchi.

Gadiel Michael nae alienda Simba sc chaguo lake halikuzaa matunda Bali alikutana na benchi huku akimtazama mohammedi hussen uwanjani na kibarua kikawa kigumu kwa gadiel Michael.

Nimeshangazwa sana kwenye mechi ya Simba dhidi ya Coastal union kumuona Israel Mwenda akifanyiwa Sub baada ubao kusoma namba ya Shomari kapombe atoke lakini cha ajabu Israel Mwenda na Shomari kapombe hawapeani mkono kabisa na hiyo inaonesha kuwa Kuwa Kuna tatizo (uhasama) Kati ya Mwenda na Shomari.

Kwa kumshauri Mwenda atafute changamoto kwenye timu nyingine Kama alivyofanya Gadiel Michael na Beno kakolanya kwenda Singida na Sasa wamekuwa wachezaji tegemezi ndani ya kikosi Cha singida.

Walio Karibu na Mwenda wamshauri bwana mdogo akatafute changamoto sehemu nyingine.
Kwahiyo wewe kama mwanamichezo huoni tatizo kwa mchezaji kukaa benchi?

Angalia rotation ya Yanga wachezaji wote wanacheza, hata ukiwa benchi lakini siyo benchi la kila siku, na wanaotokea benchi ndio huwa wanaleta matokeo.
 
Gadiel Michael na Beno Kakolanya walikua ni wachezaji tegemezi ndani ya kikosi Cha Yanga SC.

Kakolanya alirubuniwa akatimkia Simba sc na kiwango chake kikashuka baada ya kukutana Aishi Manura akawa ni mchezaji wa kukaa benchi.

Gadiel Michael nae alienda Simba sc chaguo lake halikuzaa matunda Bali alikutana na benchi huku akimtazama Mohammedi Hussen uwanjani na kibarua kikawa kigumu kwa Gadiel Michael.

Nimeshangazwa sana kwenye mechi ya Simba dhidi ya Coastal union kumuona Israel Mwenda akifanyiwa Sub baada ubao kusoma namba ya Shomari Kapombe atoke lakini cha ajabu Israel Mwenda na Shomari Kapombe hawapeani mkono kabisa na hiyo inaonesha kuwa kuwa Kuna tatizo (uhasama) Kati ya Mwenda na Shomari.

Kwa kumshauri Mwenda atafute changamoto kwenye timu nyingine Kama alivyofanya Gadiel Michael na Beno Kakolanya kwenda Singida na Sasa wamekuwa wachezaji tegemezi ndani ya kikosi cha singida.

Walio Karibu na Mwenda wamshauri bwana mdogo akatafute changamoto sehemu nyingine.
Wacha majungu
 
Wewe nae ushabiki maandazi umekuzidi una kuwa mjinga mpaka una dhalilisha kocha chako.
 
Anapenda kuitumikia team ya Simba hata kma hachezi ye bora mradi yupo TU .
 
Mwehu WEWE mtoto anapotea pale anakaa benchi wakati hawana mahusiano mazuri na shomari

Unataka wachezaji wooote wacheze Kila Mechi??????
Wachezaji wamegawanyika kama Ifuatavyo

Wachezaji wa African football league.
WA ChampionLeague
WA NBC..
WA Azam Federation.
Wa Mapinduzi.

Wewe unataka wote wachezeze CAFCL au AFL

NB
Winning team never Change
 
Hivi ulishindwa kumshauri Kibwana Shomari halafu unakimbilia Simba, Kibwana sio tu amepoteza namba yanga mpaka timu ya Taifa.
 
Gadiel Michael na Beno Kakolanya walikua ni wachezaji tegemezi ndani ya kikosi Cha Yanga SC.

Kakolanya alirubuniwa akatimkia Simba sc na kiwango chake kikashuka baada ya kukutana Aishi Manura akawa ni mchezaji wa kukaa benchi.

Gadiel Michael nae alienda Simba sc chaguo lake halikuzaa matunda Bali alikutana na benchi huku akimtazama Mohammedi Hussen uwanjani na kibarua kikawa kigumu kwa Gadiel Michael.

Nimeshangazwa sana kwenye mechi ya Simba dhidi ya Coastal union kumuona Israel Mwenda akifanyiwa Sub baada ubao kusoma namba ya Shomari Kapombe atoke lakini cha ajabu Israel Mwenda na Shomari Kapombe hawapeani mkono kabisa na hiyo inaonesha kuwa kuwa Kuna tatizo (uhasama) Kati ya Mwenda na Shomari.

Kwa kumshauri Mwenda atafute changamoto kwenye timu nyingine Kama alivyofanya Gadiel Michael na Beno Kakolanya kwenda Singida na Sasa wamekuwa wachezaji tegemezi ndani ya kikosi cha singida.

Walio Karibu na Mwenda wamshauri bwana mdogo akatafute changamoto sehemu nyingine.
Kuna shida kwa wachezaji wetu kwakweli...they need audience na proud
 
Back
Top Bottom