NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Gadiel Michael na Beno Kakolanya walikua ni wachezaji tegemezi ndani ya kikosi Cha Yanga SC.
Kakolanya alirubuniwa akatimkia Simba sc na kiwango chake kikashuka baada ya kukutana Aishi Manura akawa ni mchezaji wa kukaa benchi.
Gadiel Michael nae alienda Simba sc chaguo lake halikuzaa matunda Bali alikutana na benchi huku akimtazama Mohammedi Hussen uwanjani na kibarua kikawa kigumu kwa Gadiel Michael.
Nimeshangazwa sana kwenye mechi ya Simba dhidi ya Coastal union kumuona Israel Mwenda akifanyiwa Sub baada ubao kusoma namba ya Shomari Kapombe atoke lakini cha ajabu Israel Mwenda na Shomari Kapombe hawapeani mkono kabisa na hiyo inaonesha kuwa kuwa Kuna tatizo (uhasama) Kati ya Mwenda na Shomari.
Kwa kumshauri Mwenda atafute changamoto kwenye timu nyingine Kama alivyofanya Gadiel Michael na Beno Kakolanya kwenda Singida na Sasa wamekuwa wachezaji tegemezi ndani ya kikosi cha singida.
Walio Karibu na Mwenda wamshauri bwana mdogo akatafute changamoto sehemu nyingine.