Hii yote ni baada ya wapalestina 12000 kuuawa, wangezungumza toka awali tu..Netanyahu alisema hawezi kukaa meza moja na magaidi Hamas leo kikowapi Israel anawatumia Qatar kuwabembeleza Hamas, pia Hamas wametoa masharti yao na Israel wameyakubali.
Umeichukua Gaza? Wewe ni Myahudi, Muislam ama Mkristo?Safi netanyahu bada mkongoto kwa magaidi sasa wanalo la kujifunza na gaza tushaichukua
Mwengine huyu nae muisrael wa kazuramimba Eti nae hataki makubaliano,, dah😀Hatutaki makubaliano yoyote waendelee kupasuana hadi mshindi apatikane.
vipi kuhusu kukamata magaidi na kuua magaidi, nalo halihesabiki?magaidi ya hamas hayo yamekamatwa.Uwezo mkubwaa wa kivita ni kuweza kukomboa, kukomboa ndo ushindi kwenye vita. Kama Israel mpaka sasa hajafanikiwa kukomboa mateka means kachemkaaa
"These are some of the terrorists who broke into Israel on 10/7 and were captured. No decent person should feel any sympathy for them."vipi kuhusu kukamata magaidi na kuua magaidi, nalo halihesabiki?View attachment 2821545
Mkiambiwa hamna akili nakasirika, aliye kwambia kushinda vita ni kuuwa raia hovyo hovyo ni nani?
Unawezaje kuwakamata na unashindwa kuokoa mateka? Intelligently ni kwamba ni wrong target.vipi kuhusu kukamata magaidi na kuua magaidi, nalo halihesabiki?magaidi ya hamas hayo yamekamatwa.View attachment 2821545
issue ni, wamewakamataa au hawajawakamataaa.Unawezaje kuwakamata na unashindwa kuokoa mateka? Intelligently ni kwamba ni wrong target.
Walioteka watoto na kuwaua Ni watukufu?Kumbe ulikuwa haujui ya kuwa Israel imewafunga jera mpaka watoto wa miaka 10 magerezani?
Kuanzia leo ndo ujue kuwa Israel ni taifa la hovyo.