Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezo mkubwaa wa kivita ni kuweza kukomboa, kukomboa ndo ushindi kwenye vita. Kama Israel mpaka sasa hajafanikiwa kukomboa mateka means kachemkaaakiukiweli, HAMAS kama adhabu tu wamepata, hata ukibisha ni kwamba unajikaza tu. makamanda wao wengi sana wameuliwa, majengo karibia yote yamefyekwa na israel hatayajenga. shida ni mateka, sio uwezo wa hamas. isingekuwa hivyo vita ingeshaisha kitambo. hata hivyo angalia kwanza warelease mateka afu uone kitakahotokea. utashangaa.
Kwani wameanza leo kufanya makubaliano?Muisrael mweusi wa Makete hataki makubaliano[emoji23]
Mbona upande Israel uko kimya kuhusu haya mapatano?Wanaukumbi.
Maafisa wa Hamas 'wanakaribia kufikia makubaliano ya mapatano' na Israel na kundi hilo limetoa majibu yake kwa wapatanishi wa Qatar, Ismail Haniyeh alisema katika taarifa.
Taarifa hiyo haikutoa maelezo zaidi, lakini afisa wa Hamas aliiambia Televisheni ya Al Jazeera kwamba mazungumzo yalijikita katika muda gani usitishaji huo utaendelea, mipango ya kupeleka misaada Gaza na kubadilishana mateka wa Israel wanaoshikiliwa na Hamas kwa wafungwa wa Kipalestina nchini Israel.
Pande zote mbili zitawaachia huru wanawake na watoto na maelezo yatatangazwa na Qatar, ambayo ni mpatanishi katika mazungumzo hayo, alisema afisa huyo, Issat el Reshiq.
Hamas inaaminika kuwa ilichukua karibu mateka 240 wakati wa shambulio la Oktoba 7.
Mirjana Spoljaric, rais wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC), alikutana na Haniyeh nchini Qatar siku ya Jumatatu 'kuendeleza masuala ya kibinadamu' yanayohusiana na mzozo huo, ICRC yenye makao yake Geneva ilisema katika taarifa yake. Pia alikutana kando na mamlaka ya Qatar.
ICRC ilisema haikuwa sehemu ya mazungumzo yenye lengo la kuwaachilia mateka, lakini kama mpatanishi asiyeegemea upande wowote ilikuwa tayari 'kuwezesha kuachiliwa kwa siku zijazo ambako wahusika wanakubali.'
Mazungumzo ya mpango unaokaribia wa kutekwa nyara yamezunguka kwa siku kadhaa.
Reuters iliripoti wiki iliyopita kwamba wapatanishi wa Qatar walikuwa wakitafuta makubaliano kwa Hamas na Israeli kubadilishana mateka 50 ili kurudisha usitishaji wa mapigano wa siku tatu ambao ungeongeza usafirishaji wa misaada ya dharura kwa raia wa Gaza, akitoa mfano wa afisa aliyearifiwa juu ya mazungumzo hayo.
==============
Hamas officials are 'close to reaching a truce agreement' with Israel and the group has delivered its response to Qatari mediators, Ismail Haniyeh said in a statement.
The statement gave no more details, but a Hamas official told Al Jazeera TV that negotiations were centred on how long the truce would last, arrangements for delivery of aid into Gaza and the exchange of Israeli hostages held by Hamas for Palestinian prisoners in Israel.
Both sides would free women and children and details will be announced by Qatar, which is mediating in the negotiations, said the official, Issat el Reshiq.
Hamas is believed to have taken around 240 hostages during the rampage on October 7.
Mirjana Spoljaric, president of the International Committee of the Red Cross (ICRC), met Haniyeh in Qatar on Monday to 'advance humanitarian issues' related to the conflict, the Geneva-based ICRC said in a statement. She also met separately with Qatari authorities.
The ICRC said it was not part of negotiations aimed at releasing the hostages, but as a neutral intermediary it was ready 'to facilitate any future release that the parties agree to.'
Talk of an imminent hostage deal has swirled for days. Reuters reported last week that Qatari mediators were seeking a deal for Hamas and Israel to exchange 50 hostages in return for a three-day ceasefire that would boost emergency aid shipments to Gaza civilians, citing an official briefed on the talks.
Israel and Hamas are 'close to reaching a truce agreement'
![]()
Israel and Hamas are 'close to reaching a truce agreement'
Hamas officials are 'close to reaching a truce agreement' with Israel and the group has delivered its response to Qatari mediators, Ismail Haniyeh said in a statement.mol.im
Kubwa jinga. Unatunga uongo ili iweje unasema Israel iachie wafungwa wanawake na watoto. Hao watoto nap no wafungwa? jishtukie wakati mwingineNetanyahu alisema hawezi kukaa meza moja na magaidi Hamas leo kikowapi Israel anawatumia Qatar kuwabembeleza Hamas, pia Hamas wametoa masharti yao na Israel wameyakubali.
Mwengine huyu nae muisrael wa kazuramimba Eti nae hataki makubaliano,, dah😀Hatutaki makubaliano yoyote waendelee kupasuana hadi mshindi apatikane.
Nchi inaingia kwenye madeni makubwa ambayo yatalipwa kwa kodi watakazokatwa wananchVita ni hasara.
Dunia ya sahivi haiendeshwi kwa vita za mabomu na risasi.
Fake news na propaganda za kipuuzi. Wafilisti wasio tahiriwa na magaidi ukae nayo mjadili nini?. Israel hawakuanzisha vita, hawakutaka vita, lakini uwe na uhakika watashinda hiyo vita.Netanyahu alisema hawezi kukaa meza moja na magaidi Hamas leo kikowapi Israel anawatumia Qatar kuwabembeleza Hamas, pia Hamas wametoa masharti yao na Israel wameyakubali.
Alafu na mtu kama ww utakuta eti na ww unajiita umesoma 😃😃😃😃😃Ningekua Mimi Benjamin huo upuuzi wa kukaa meza na magaidi eti kubadilishana mateka usingekuwepo! Magaidi yameua waisrael karibia 1500 wasiokua na hatia sembuse mateka 240?
Kwani hao 240 Wana thamani sana kuliko maelfu waliouawa tarehe 7? Pale Gaza ni Bomu Moja la kugeuza juu chini kiumbe yeyote aliepo pale habari yake inaishia hapo maisha yanaendelea
Mfuasi wa mwamedi unajitekenya na kujichekaUfahamu historia ya Palestina wameisha teka sana Waisrael na wakatoa mashatti yao huko nyuma waliwahi kukataa masharti yao akajilipua nao Hamas siyo wajinga wanatoa mateka kwa hawamu.
Israel hawajaomba kukaa na Hamas, na kama ni kwa maamuzi yao pekee, siamini kama wangekubali.Israel si walisema hawawezi kukaa meza mojo na Magaidi wa Hamasi[emoji23]
Mkiambiwa hamna akili nakasirika, aliye kwambia kushinda vita ni kuuwa raia hovyo hovyo ni nani?and 13,000 palestinians killed. na bado kuna mtu anasema wameshinda vita. hizo ni akili au ubwabwa?
Pumbavukuna war cabinet lazima waridhie na pia makubaliano yanaweza pingwa mahakamani ndani ya saa 24. Israel sio kama kikundi cha masheikh ubwabwa lazima mambo yaende kwa utaratibu.
Kumbe ulikuwa haujui ya kuwa Israel imewafunga jera mpaka watoto wa miaka 10 magerezani?Kubwa jinga. Unatunga uongo ili iweje unasema Israel iachie wafungwa wanawake na watoto. Hao watoto nap no wafungwa? jishtukie wakati mwingine
Kipindi wanasema hawawezi kukaa meza moja na magaidi walikuwa hawayajui hayo?Israel hawajaomba kukaa na Hamas, na kama ni kwa maamuzi yao pekee, siamini kama wangekubali.
Lakini mateka wanaoshikiliwa ni wa mataifa mbalimbali, na hayo mataifa ndiyo yamekuwa yakitoa shinikizo kwa Israel kukubali kubadilishana mateka ili watu wao waachiliwe.
Katika Ulimwengu wa mashirikiano, kuna wakati nchi inalazimika kutenda yale ambayo mataifa mengine yanataka hata kama siyo matakwa ya Taifa husika.
Israel haina utamaduni wa kuongea na magaidi.Netanyahu alisema hawezi kukaa meza moja na magaidi Hamas leo kikowapi Israel anawatumia Qatar kuwabembeleza Hamas, pia Hamas wametoa masharti yao na Israel wameyakubali.
Pause ya nini waendelee kupigana wao si wamesema hawawezi kukaa meza moja na hamas au maji ya shingo [emoji1787]Kinachofanyika siyo ceasefire bali ni pause. Baada ya mateka kupokelewa, magaidi ya Hamas yanaendelea kutafutwa popote yalipo ili yamalizwe.
Acha kujitetea kubali maji yamezidi unga [emoji1787]Israel hawajaomba kukaa na Hamas, na kama ni kwa maamuzi yao pekee, siamini kama wangekubali.
Lakini mateka wanaoshikiliwa ni wa mataifa mbalimbali, na hayo mataifa ndiyo yamekuwa yakitoa shinikizo kwa Israel kukubali kubadilishana mateka ili watu wao waachiliwe.
Katika Ulimwengu wa mashirikiano, kuna wakati nchi inalazimika kutenda yale ambayo mataifa mengine yanataka hata kama siyo matakwa ya Taifa husika.