Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

hasira zao zimeshaisha. bora wayajenge watulie sasa.
Hahaha yule waziri wa ulinzi mikwara mingi hamna umeme, hamna chakula, hamna maji, na tutaifanya gaza kuwa mji wa mahema tutakomboa mateka wetu kutoka kwa magaidi wa Hamas leo wanawatuma Qatar wawambembeleze magaidi😂
 
Wewe endelea na ushabiki mandazi hujui chochote hao mateka wa Israel hujui wanawatoa wapelestina wangapi ambao wapo jela Israel.
Wawatoe tu muisrael mmoja anathaman sawa na wafuasi wa ala 50 ndio mana inabidi wafe wapalestina 50 kufidia waisrael 1400
 
Hahaha yule waziri wa ulinzi mikwara mingi hamna umeme, hamna chakula, hamna maji, na tutaifanya gaza kuwa mji wa mahema tutakomboa mateka wetu kutoka kwa magaidi wa Hamas leo wanawatuma Qatar wawambembeleze magaidi😂
Magaidi sio kataa tu wapo china nchi za magaidi zaidi ya 20 kubembeleza israel wapunguze kugeuza majivu
 
Makomandoo wa Israel wamwshindwa kuwakomboa wanazunguka tu Gaza na vibuyu vya maji migongoni huku wameshika silaha.
 
Tupo tunangamiza kizazi cha magaidi tumeanza na vitoto vyao mpaka mama zao
 
Magaidi sio kataa tu wapo china nchi za magaidi zaidi ya 20 kubembeleza israel wapunguze kugeuza majivu
Pande zote mbili zitawaachia huru wanawake na watoto na maelezo yatatangazwa na Qatar, ambayo ni mpatanishi katika mazungumzo hayo, alisema afisa huyo, Issat el Reshiq.
Hamas inaaminika kuwa ilichukua karibu mateka 240 wakati wa shambulio la Oktoba 7
 
Unaenda mwezi wa pili sasa Mateka ziro wanapiga mabomu watoto na wagonjwa kila siku wanapokea maiti
Tatizo hamuelewi oktoba 7 wakati Hamas wanavamia na kutuma roketi na makombora wapalestina walikuwa wanashangilia sijui watoto wazee na kinamama Tena Kuna clip moja gaidi la Hamas alikuwa anampigia baba ake anamwambia nimeua waisrael kumi kwa mikoni yangu baba anafurahi halafu walivo washenzi waliwaficha hispitalini baada ya Israel kugundua Hilo wakashambulia hospital halafu mnaanza kusema ooh wanaua wagonjwa Jana mateka mmoja amepatikana akuwa amekufa na CCTV za hospital zinaonyesha akiwa anaingizwa na Hamas oktoba 7
 
Tupo tunangamiza kizazi cha magaidi tumeanza na vitoto vyao mpaka mama zao
Elon Musk: “If you kill someones child in Gaza, you have made a few new Hamas members”🇮🇱
 
hasira zao zimeshaisha. bora wayajenge watulie sasa.
Hamas wapewe maua Yao,wamemtandika October 7,wametoa na msharti wanatekeleza Israel, laaaaaah

Hii Israel ambayo ukiisoma kwenye makaratasi uwezo wao kijeshi waweza kuhama sayari hii.
20230930_013345.jpg
 
Tatizo hamuelewi oktoba 7 wakati Hamas wanavamia na kutuma roketi na makombora wapalestina walikuwa wanashangilia sijui watoto wazee na kinamama Tena Kuna clip moja gaidi la Hamas alikuwa anampigia baba ake anamwambia nimeua waisrael kumi kwa mikoni yangu baba anafurahi halafu walivo washenzi waliwaficha hispitalini baada ya Israel kugundua Hilo wakashambulia hospital halafu mnaanza kusema ooh wanaua wagonjwa Jana mateka mmoja amepatikana akuwa amekufa na CCTV za hospital zinaonyesha akiwa anaingizwa na Hamas oktoba 7
Wewe unaelewa vipi tena Israel inakaa meza moja na magaidi?
 
Kwahiyo hao wafungwa wana thamani kubwa kuliko wapalestina waliouwa?
Yaani ushikilie mateka 200, wauwawe watu wako zaidi ya 12,000 kwasababu ya kukomboa wafungwa wasiozidi 5,000? Uhai wa hao waliokufa unakombolewaje?
 
Hamas wapewe maua Yao,wamemtandika October 7,wametoa na msharti wanatekeleza Israel, laaaaaah

Hii Israel ambayo ukiisoma kwenye makaratasi uwezo wao kijeshi waweza kuhama sayari hii.
View attachment 2820529
Wamemtandika Nani wananchi wasio na hatia watandike idf Sasa so waki hapo Gaza wasiombe amani
 
Netanyahu alisema hawezi kukaa meza moja na magaidi Hamas leo kikowapi Israel anawatumia Qatar kuwabembeleza Hamas, pia Hamas wametoa masharti yao na Israel wameyakubali.​

Weka ushahidi Israel inawatumia Qatar kuwabembeleza Hamas mnafundishwaga uwongo na unafiki kwenye dini yenu?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha yule waziri wa ulinzi mikwara mingi hamna umeme, hamna chakula, hamna maji, na tutaifanya gaza kuwa mji wa mahema tutakomboa mateka wetu kutoka kwa magaidi wa Hamas leo wanawatuma Qatar wawambembeleze magaidi😂
kiukiweli, HAMAS kama adhabu tu wamepata, hata ukibisha ni kwamba unajikaza tu. makamanda wao wengi sana wameuliwa, majengo karibia yote yamefyekwa na israel hatayajenga. shida ni mateka, sio uwezo wa hamas. isingekuwa hivyo vita ingeshaisha kitambo. hata hivyo angalia kwanza warelease mateka afu uone kitakahotokea. utashangaa.
 
Back
Top Bottom