Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

Israel na Hamas zinakaribia kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa

Hatutaki makubaliano yoyote waendelee kupasuana hadi mshindi apatikane.
 
IOF ilishiriki video nyingine ya propaganda inayodaiwa kuonyesha maendeleo yao ndani ya Ukanda.

Ninachokiona ni makomando wa Kiisraeli wakifyatua risasi kwenye kuta tupu, nyumba, na ardhini katika kujaribu kuwashawishi watu wao kwamba jeshi lao linashiriki katika mapambano ya ardhini yenye mafanikio.
 

Attachments

  • twidown.mp4
    8.7 MB
Muisrael mweusi wa Makete hataki makubaliano[emoji23]
Msemaji wa HAMAS kutoka Kimanzichana naona leo haukai wala hausimami kwa heka heka za kutupasha habari [emoji3]
 
Msemaji wa HAMAS kutoka Kimanzichana naona leo haukai wala hausimami kwa heka heka za kutupasha habari [emoji3]
Nyamizi vipi umeishakwenda kubatizwa maana Pqpa kaishatoa ruksa nafurahi mtoto mzuri unanifiatilia njoo Dm.
 
Magaidi bhana gaza kuchakazwa kote kule bado mnaropoka!hivi kati ya gaza na ukraine wapi kumechakazwa?
 
Those 240 cost them so much! In term of person life and infrastructure.
 
Israel imesema Makubaliano ya kuwaachia Mateka yanayofanyika Qatar yakihusisha Marekani, Hamas na Msuluhishi Qatar ni lazima kwanza yapate Kibali cha Cabinet ya Israel ndio yafanyiwe Kazi

Msemaji wa Israel amesema kuna kikao cha Cabinet baadae leo na kama jambo hilo litaletwa labda litajadiliwa

Source BBC news
 
Israel haijapata kutekeleza mikataba yoyoye huyo ni mtoto wa America anadekezwa mno
 
Jamaa mbona kama wamesusa Raia wao waliotekwa, ni kama wapo Radhi wasiachiwe ili waendeleza mibomu.
 
Netanyahu alisema hawezi kukaa meza moja na magaidi Hamas leo kikowapi Israel anawatumia Qatar kuwabembeleza Hamas, pia Hamas wametoa masharti yao na Israel wameyakubali.
Siyo kweli. Qatar ameombwa na Hamas, siyo na Israel wala US. Official statement ya Qatar, inasema Qatar imejitolea, haijaombwa na nchi yoyote. Lakini inafahamika kuwa makamanda wakuu wa Hamas wanaishi Qatar.
 
Kweli Hamas akili zao zimejaa kamasi.....vipi kuhusu hao waliouwawa karibia watu 13,300
 
Kwani mateka c wapalestina nani anapata hasara, wametekwa waisrael wanauliwa dazan ya wapalestina. Nasemaje kipigo kiendelee mpaka mabikra waishe waanze kugombania
Na pia kuna mateka zaidi ya 3,000 wapo kwenye magereza ya Israel.
 
Mvaa kubazi wa tandale umevumbiwa unamfundisha netanyau
 
hasira zao zimeshaisha. bora wayajenge watulie sasa.
Kinachofanyika siyo ceasefire bali ni pause. Baada ya mateka kupokelewa, magaidi ya Hamas yanaendelea kutafutwa popote yalipo ili yamalizwe.
 
Israel imesema Makubaliano ya kuwaachia Mateka yanayofanyika Qatar yakihusisha Marekani, Hamas na Msuluhishi Qatar ni lazima kwanza yapate Kibali cha Cabinet ya Israel ndio yafanyiwe Kazi...
kuna war cabinet lazima waridhie na pia makubaliano yanaweza pingwa mahakamani ndani ya saa 24. Israel sio kama kikundi cha masheikh ubwabwa lazima mambo yaende kwa utaratibu.
 
Israel imesema Makubaliano ya kuwaachia Mateka yanayofanyika Qatar yakihusisha Marekani, Hamas na Msuluhishi Qatar ni lazima kwanza yapate Kibali cha Cabinet ya Israel ndio yafanyiwe Kazi...
Naona umemua kujifariji weka link ya hiyo habari yako.
 
Back
Top Bottom