Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wote wapo kwenye mfungo nani ataibuka mshindi kati ya wala tende na wanywa mvinyo wenye chachu?

Kinachoumiza ni watoto watakaokufa wasio na hatia.
Israel haina uwezo wa kuipiga Irani hata kidogo; japo huwa inapiga kelele kama mbwa koko watu wasio na data wafikiri ina nguvu kubwa ya kijeshi kumbe propaganda na utegemezi mkubwa wa kituo cha kijeshi cha Marekani kilichopo Israel kwa ajili ya kuidhoofisha nguvu Middle East.

Unakumbuka mwaka jana ilivyo ibeep Irani ikapigwa kipigo cha mbwa koko. Kama sio Marekani kuingilia kuokoa jahazi tungekuwa tunaongea mambo mengine...
Hapo inabeep ikitegemea Marekani imsaidie au pengine imetumwa ibeep kwa kuwa Israel ni Koloni la marekani; Hata kuwepo Nchi inayo itwa Israel ni Marekani iliwazawadia pale mwaka 1945
 
Waisrael Wana ushenzi sana.

Hapo keshatumwa na bwana wake US. "nenda kamchokoze,mpige ngumi ya pua atoke damu puani,akireact nipate sababu ya kumpasua kwa kigezo cha kuja kukusaidia"

Hawa watu watai-destabilize hii Dunia hadi lini? Hiyo power waliyo nayo haijawatosha tu?
 
Kazi imeanza....!
 
Hata sasa ni Marekani huyo ameingia kwa kumtanguliza mu-Israel.

Hapo Iran itapigwa haina ujanja, mimi maumivu yangu ni kwa watoto tu.!!
 
Vita havipaswi kushangiliwa hata kidogo,
Lakini kwa namna yeyote tayari inaonekana kule kujigamba kwa Israel kuwa taifa lenye intelligence kubwa zaidi tayari hakupo tena.

Kinachoenda kutokea ni kupigwa tena Israel na asilimia kubwa ya Dunia ikiwaunga mkono Iran
 
Kwahiyo wale wanaoteseka kwenye biblia dini gani?
Nchini Israel hakuna wafuasi wa Yesu (hakuna Wakristo) na wala hairuhusiwi kupeleka Injili huko.
Ni rahisi kwenda kuhubiri Injili Saudi Arabia kuliko kwenda kuhubiri Israel.
Angalau Kuna Waisrael Waislam ila Waisrael wakristo kwanza kuwapata ni shida kwa kuwa hawakubaliki....
 
Ile miji ya Bethlehem na galilaya haiko Israel biblia waongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…