Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Hongera Israel
DuhhPale hormuz mboo moja tu ili upite kwa amani lipa pesa yao ili uuwawe pita bila kulipa pesa yao
Mpaka leo meli zinakula chuma tu jamaa yangu jamaa hawataki utani kabisa ila ukilipa mpaka guard unapewa wa kukupitisha salamaDuhh
Hapo Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya kiranja wa dunia!!Kile wamekutanana nacho kwa Wairani
Hawakutegemea kwasasa Serikali ya Trump inawasiwasi kupoteza Udhibiti wa Mabunge yote mawili !!!
Na wezao Democratic kupitia kamati zao za mambo ya Nje na ulinzi na usalama kipindi ichi ndio wanataka kwenda kukagua Military Base maeneo ya Middle East lengo waje na report
kuchagiza kupitishwe muswada wa uchunguzi
waitwe wakuu wa Jeshi watoe maelezo upya hasara za jumla kwenye zile kambi zao ni zipi
Democratic wanajua fika wakitumia vema fursa yasasa sio Bunge tu mpaka Uchaguzi mkuu watamondoa kiwepesi
kabisa Trump ✍️