King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
Mkuu irani alipata somo kubwa, baada ya vita vyake na Iraq vya miaka 8. Lakini pia aliweza kumsoma marekani, na washirika wake wanaotumia silaha ya sanction(vikwazo vya uchumi), machafuko ya ndani kwa kugawa silaha kwa waasi na kusapoti maandamano yakuipinga serikali, zisizo na maslahi kwake. Ili zikishatepeta azivamie kijeshi na kuweka puppets, wa kusimamia maslahi yake, ndio maana Iran alijiandaa vya kutosha.Kwa mtindo huu inaonekana Iran haijvunjwa nguvu kijeshi kama tulivyodhani. Inaonekana Iran imejipanga zaidi ya tunavyojua.
Rais mstaafu wa Iran Mahmoud Ahmedinejad ameuliwa
Eti eeeh?Wanaelekea na launcher zipi walizobaki nazo
Zimebaki za kuotea tu
Eti eeeh?💥💥💥💥
Trump: Tumeharibu karibu 90% ya launchers za iran, na kama 90% ya makombora yenyewe
Kweli eeeh?Iran ni mjinga, hakupaswa hata kwa bahati mbaya kutengeneza uadui kati yake na Majirani zake.
Yeye hizo nguvu za kulipua Gulf Nations angeelekeza kwa Israel.
Israel anawainda launchers zote
Baada ya hapo Iran itatulia kabisa
Kwani uyo jamaa hajafaEti eeeh?