Wewe jamaa sijui unakwama wapi!
Iran ipo katika eneo lenye umuhimu mkubwa sana la kimkakati katika buiashara ya dunia. Ina starit of Hormuz takribani 25% ya mafuta ya dunia yanapita hapo. Iran ni kiunganishi ya Asia ya Kusini (India na Pakistan), Asia ya kati, mashariki ya kati na Ulaya ya mashariki.
Pia, ni Iran ni International North-South Transport Corridor, ambapo njia hii huunganisha India, Iran, Urusi hadi Ulaya kama mbadala wa mfereji wa Suez. Hii inafanya Iran kuwa njia ya mkato ya kibiashara.
China ina maslahi makubwa sana hapo kwa Iran.
Tangu kuanza kwa vita mpaka sasa Iran anatumia satellite ya kijeshi ya China. Hadi makombora China anampatia Iran.