Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

hii vita imejaa propaganda sio poa, iran inapiga mashariki ya kati yote ila haiwezi kupiga airbase za Israel, ndege za Israel zinatua kubeba siraha na kwenda kushambulia Tehran 😀

makombora ya Iran ni mazito sana cha ajabu hayawezi kupiga target za kuibana mbavu Israel
 
Hofu yangu ni vita ikiwa ya muda mrefu tupo tayari kama nchi kukabiliana na hali itakayo jitokeza kiuchumi maana mashambulizi ya meli yameanza huko.

Na Marekani yupo tayari kuona anapigishwa vita vya muda mrefu ?
Hilo watajua hao viongozi wako wazee wakulilia mikopo na misaada
 
hii vita imejaa propaganda sio poa, iran inapiga mashariki ya kati yote ila haiwezi kupiga airbase za Israel, ndege za Israel zinatua kubeba siraha na kwenda kushambulia Tehran 😀

makombora ya Iran ni mazito sana cha ajabu hayawezi kupiga target za kuibana mbavu Israel
Wacha uongo haupo na watoto wenzako hapa.
Israel ipi unayotudanganya imetawala anga la Iran Tehran!??
Watu tupo live tunafuatilia.
 
Kama wametawala anga, waende kupiga missiles launchers zinazoiharibu Tel Aviv..
 
Wacha uongo haupo na watoto wenzako hapa.
Israel ipi unayotudanganya imetawala anga la Iran Tehran!??
Watu tupo live tunafuatilia.
Angalia Al Jazeera kijana acha ushabiki maandazi
 
USS Lincoln imetestiwa na cruise missiles nne.
Naona kama wanaitekenya tekenya hivi Iran.
Meli 150+ zimetia nanga karibu na mfereji wa Hormuz zikisubiri hatma yake.
Ni meli za China tu ndio zinaruhusiwa kupita kwasasa.
Kwa mujibu wa ripoti.
 
Natizama Aljazeera hiyo hiyo. Israel anarusha makombora kutoka mpakani wala haingii anga la Iran.
-Madai yako yapili ya uongo ni kudai kuwa Iran anafyatua makombora hovyo ilhali toka jana ameathiri kambi nyingi za Marekani na Israel.
anarusha kutoka mpaka wa wapi?
 
Back
Top Bottom