Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

unajua umbali wa kutoka Syria hadi Tehran?
Mkuu Israel haiwezi kujiachia ndani ya anga la Iran, ndege ikikimbia sana ni 2000km/hr, hio speed rubani anakutana g force ya hatari huko ndani, akifanya maneuvering inaweza pelekea hata akapoteza fahamu...

Hio speed haiwezi ku outrun missiles za kiasa kulenga ndege. Hypersonic yenyewe na ukuwa wake wa kubeba mamia ya kilo ya mlipuko inakimbia kwa kasi kuliko risasi inayotoka kwenye bunduki.

Wanafanya stand off strike.. sanasana wakiingia ni mipakani, hizo ndege zinabeba cruise missiles ambazo pia zinaendeshwa, cruise mssiles inaachiwa Morogoro inasafiri hadi Dsm..
 
Lawama zote zitakwenda kwa Trump zaidi kuliko Netanyahu.

Hakukuwa na umuhimu wowote ule wa kuishambulia Iran, hata viongozi wa kijeshi wa US walimshauri , ila kaamua kumsikiliza mmewe Netanyahu.
Hata angeshambulia angefanya Tu Siri as if Israel wameshambulia hakukua na haja yoyote kujitangaza yeye ndio kapiga, kujitangaza kwake kumeponza na kuua watu wengi Sana.
 
Mkuu Israel haiwezi kujiachia ndani ya anga la Iran, ndege ikikimbia sana ni 2000km/hr, hio speed rubani anakutana g force ya hatari huko ndani, akifanya maneuvering inaweza pelekea hata akapoteza fahamu...

Hio speed haiwezi ku outrun missiles za kiasa kulenga ndege. Hypersonic yenyewe na ukuwa wake wa kubeba mamia ya kilo ya mlipuko inakimbia kwa kasi kuliko risasi inayotoka kwenye bunduki.

Wanafanya stand off strike.. sanasana wakiingia ni mipakani, hizo ndege zinabeba cruise missiles ambazo pia zinaendeshwa, cruise mssiles inaachiwa Morogoro inasafiri hadi Dsm..
Mfurahishe Netanyahu mkubalie asemayo ni kweli Ajifurahishe Nafsi yake
 
Ndio nilikuwa nasema toka mwanzo, Iran wapige carrier..
Nadhani hizo ballistic missiles zilizoipiga zimetumika kama kufanya reconnaissance ama ku test.
Nadhani dhahama kamili inakuja..

US kaingia cha kike...
 
Za ndani zinasema Trump alimtuma Italy kama mshenga wake, Iran wakachomoa!!!

Screenshot_2026-03-01-17-54-23-90_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Almost 1800km!
Wewe unajibu vizuri tuendelee...

Kama makombora yanatumwa kutoka huo umbali kwa kuhofia air defense system za Irani.. Vipi kuhusu hizi targeting pod

Hivi kuna pods zinazoweza kurecod shambulizi la umbali wa km 1800?
 
Kambi ya jeshi ya Ufaransa peace camp imetiwa kibiriti nchini UAE.
Vifo vimeongezeka Beit Shem.
Kila dakika vinazidi kuongezeka.
Nimeiona hiyo habari hawa waarabu wenye bases za Marekani hawana ADs ?
 
Kama anpigwa strategi sites, si wapige huko kwenye missiles launchers zake?
Tel Aviv inapigwa vibaya...
KWani Israel Gaza alikuwa anapiga strategic sites..
Kuua wanafunzi waliokuwa shuleni ni strategic site?
iran keshaua wanajeshi wangapi wa israel hadi sa ivi?
 
Pentagon yatangaza Wanajeshi 3 wamefariki na 5 wamejeruhiwa kufuatia mashambulizi ya Iran
 
Strategic sites zipi anapiga?
Maana naona Iran bado anarusha tu makombora, anarusha drones!
Swali, Israel ina unlimited stock of interceptors!?
If the answer is NO!
Then tuseme tu...YAJAYO YANAFURAHISHA!!!
kuendelea kurusha makombora haimaanishi kwamba haipigwi, je ushaona ndege yeyote ya israel imepigwa hadi sasa? iran si ana makombora ya hypersonic kwa nini asiangushe hizo ndege?
 
Back
Top Bottom