Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kama analenga vitu muhimu vya kivita, kwanini asilenge huko Iran wanaporushia hayo makombora?
Israel kuna sheria kali sana sasa ya kudhibiti taarifa za kivita.. wananchi wanakamatwa na polisi..
Mkuuu mbona missile launching site kadhaa na air defences ziko chali? Unafikiri kwanini ndege za Israel zinaingia anga ya Iran wanavyotaka? Anyway endelea kutuletea uchambuzi
 
Mkuuu mbona missile laughing site kadhaa na air defects ziko chali? Unafikiri kwanini ndege za Israel zinaingia anga ya Iran wanavyotaka? Anyway endelea kutuletea uchambuzi
Israel mkuu anatumia ndege nyingi.
Kwa mujibu wa ripoti zao wenyewe ni ndege 200+ ziko operational zikipokezana kushambulia.
Aisee mpaka hapo tuwasifu Iran maana wangekua dhaifu Iran ingekua inageuka Gaza.
 
Hapo kweli pagumu. Je wamefanikiwa kulenga hata ndege moja?
 
Hapo kweli pagumu. Je wamefanikiwa kulenga hata ndege moja?
Israel wanafanya stand off strike mara nyingi..
Ndege zinatumika kama kibebeo cha cruise missiles... hizo ndege zinapita mbali , pale ambapo wanafahamu kuna anti aircraft ama air defense hawasogei kabisa...

Wanatumia na drones pia..
 
Back
Top Bottom