Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Bila Nyuklia hapa US na Israel wanaaibika vibaya. Israel ndio huwa haina kifua kabisa kuvumilia.

Bila us ground forces kuwafuta hawa wanamapinduzi wa kiislam watakuja kukuta wameshaandaa na nuclear yao ya kujibu. Inatakiwa wafutwe fastafasta. Ila kama Iran kafanya haya US hawezi kupigana na Russia wala china
 
💥💥💥
Trump: wananchi a Iran kutoka maeneo mbalimbali wamekua na furaha, lakini hapo hapo tunaendelea kushambulia. Hawana hofu wanajua wapo mikono salama
 
💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora wizara ya inteligensia mashariki khoja abdallah na kaskazini (hemat highway)
 
Back
Top Bottom