Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Esmail Baghaei(msemaji wa wizara ya mambo ya nje): kuuwawa kwa khamenei ni uhalifu wa kimataifa, itasababisha vita ya kidini
 
💥💥💥💥
Jeshi la Iran: Tumeshambulia kambi mbalimbali za marekani na kusababisha vifo na majeruhi takribanj 560
 
💥💥💥💥
Jeshi la Israel: Tumewaua viongozi wa juu wa serikali na jeshi la Iran
20260301_200001.jpg
 
Iranian Police Chief: The enemy is exploiting artificial intelligence to influence people's consciousness and thoughts
 
💥💥💥💥
Video footage: Israel inashambulia kwa makombora kambi ya jeshi behesht pier bandari ya chabahar
 
Attachments

  • 2026-03-01_20-05-51_0.mp4
    1.3 MB
💥💥💥💥
Baadhi ya wananchi wanaondoka Tehran na kwenda kaskazini mwa Iran
 
Kasema waziri wa mambo ya nje wa Iran ndio amesema wanataka wazungumze. Tusubiri
Trump anatafuta namna ya kujitoa kwenye hio vita.. Kabla udhaifu wao hujaonekana wa vifaa vya kijeshi pamoja na uwezo wao wa kijeshi kitu kitakachopelekea kuingia kwenye mgogoro unao weza pelekea US uchumi wake ukayumba.

Na kipigo cha safari hii ni heavy, tena ambae ameanza kuomba cease-fire hapo ni Netanyahu maana yeye ndiye mhanga mkubwa, maana Tel Aviv inazidi kuchakaa.

Ukitaka kufahamu hilo, US kapigwa kambi zake zote middle east na askari wameuawa lakini anaonekana anahitaji mazungumzo na Iran.
 
Ngoja tusubiri. Lakini hizi paragraph za mwisho umeweka chumvi
 
Trump anatafuta namna ya kujitoa kwenye hio vita.. Kabla udhaifu wao hujaonekana wa vifaa vya kijeshi pamoja na uwezo wao wa kijeshi kitu kitakachopelekea kuingia kwenye mgogoro unao weza pelekea US uchumi wake ukayumba.

Na kipigo cha safari hii ni heavy, tena ambae ameanza kuomba cease-fire hapo ni Netanyahu maana yeye ndiye mhanga mkubwa, maana Tel Aviv inazidi kuchakaa.

Ukitaka kufahamu hilo, US kapigwa kambi zake zote middle east na askari wameuawa lakini anaonekana anahitaji mazungumzo na Iran.
Kwa kweli watanzania uwezo wetu wa kuchanganua huwa ni wa kipekee sana.
Tatizo la kwanza ni kuwa biased hata kwa vitu vya kawaida.
 
Iran anatakiwa ajitoe kimasomaso bila huruma.
Aichome Israel
Azamishe Yale madude Baharini
Atoe kichapo heavy Kwa majirani zake wanafiki.

Kisha asubiri USA mwenyewe hapo mazoea yataisha.
Tatizo Wairan wanamawazo kama haya ila wanasita.
Ahadi zao za kutoa somo wanaahidi lakini wanasita sita.

Marekani anatabia za kihuni, anakutafutia angle, ukionyesha kumzidi kete anasitisha vita. Hivyohivyo mpaka Iran atajikuta amemwagwa
UNARAHISISHA SANA YE KASHINDWA WE MSIKIA UDAKU UNGE TULIA TU KAKA
 
Back
Top Bottom