hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Mbona wamezipiga base au hazina maslahi yoyote na USA !?Mkuu kwani Iran haitaki kuteketeza hio manowari inayowapa kiburi USA? Akipiga air craft carrier moja atapigwa kipigo ambacho hakijawahi kutokea duniani.