hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😄😄Kama umevaa gauni la mkeo kwenye avatar ni vibaya kukuambia? hilo ni tusi, mi nilikuuliza kwa wema tu kwamba mkuu umevaa gauni la mkeo?
😄😄Kama umevaa gauni la mkeo kwenye avatar ni vibaya kukuambia? hilo ni tusi, mi nilikuuliza kwa wema tu kwamba mkuu umevaa gauni la mkeo?
😁🤣🤣 HawachelewiDiego Garcia ipo within a range...
Moto ukianza kumbuka wana backdoor ya kuzungumza na kuomba cease-fire, tena atakayeanza ni Trump..
Iran si mchezo, inatuma salamu kambi zote kwa wakti mmoja.
ni mwendo wa kutuma salamu upokee usizipokee utajua mwenyeweIran si mchezo, inatuma salamu kambi zote kwa wakti mmoja.
Wakimaliza hapo inaanzwa Tel Aviv, na hii vita ili kusudi waombe cease-fire, Iran iitandike Israel mpaka wananchi watoke mashimoni kama zombies...
Alichomoa wanaeAyatollah khamenei anatarajiwa kuhutubia taifa soon
😁😁😁 Huo uwezo anautoa wapi ilhali tulijionea alivyo chapika katika ile vita ya siku 12. !?Unapozungumzia suala la kushambulia kimkakati na statergies kama utaweka ushabiki pembeni basi utaona Israel huwa yupo mbali sana kumshinda Iran
Marekani hama maslai yoyote ya maana Tanzania
Hivyo yawezekana bibi tunae mpaka 2035
Hatuongei ushabiki kaka.Hawa hata Libya walikuwa wanasema West wanawaogopa, Gadafi akakutwa kwenye kalavati,Iraq walisema Sadam hagusiki watu wakamnyonga,Syria kwisha sasa huyu Iran naye kafikiwa.
Iran si mchezo, inatuma salamu kambi zote kwa wakti mmoja.
Wakimaliza hapo inaanzwa Tel Aviv, na hii vita ili kusudi waombe cease-fire, Iran iitandike Israel mpaka wananchi watoke mashimoni kama zombies...
Kabisa ni ukweli ila ni mchungu sana kumezaHili lipo wazi.
Ukizingatia baadhi ya maafisa walitumwa Vatcan ndio kabisa unaona hakuna kitakachofanyika.
Serikali ni jeuri kwa wananchi lakini haijagombana na wakora wa dunia. Hivyo haioni kitisho
Israel inazidiwa strategies hata na hamas..Unapozungumzia suala la kushambulia kimkakati na statergies kama utaweka ushabiki pembeni basi utaona Israel huwa yupo mbali sana kumshinda Iran
Israel hawaamini mambo ya KWARESMA, hao WANA Imani yao NYINGINE HAPO wakristo ni wachacheWote wapo kwenye mfungo nani ataibuka mshindi kati ya wala tende na wanywa mvinyo wenye chachu?
Kinachoumiza ni watoto watakaokufa wasio na hatia.
Kama hizo base nyingine zimechezea mkong'oto kwanini hiyo base isipigwe ..!? Wewe ulitegemea kuona kwamba Kuna siku Moja base za USA na zenyewe zitakuwa zinachezea kichapo Tena Kwa wakati mmoja ndani ya masaa mawili tu katika Nchi zaidi ya 3 tofauti!? Uliwahi kutegemea Hilo Tena ukitizama jinsi mlivyo kuwa mnajazwa propaganda kuwa USA ni untouchables Leo umeona IRAN anacho kifanya !?Sasa mkuu ulitaka wafanye nini, unajua lakini kwamba USS GERALD FORD ipo middle east? Ile USS GERALD FORD inaweza zima 80% ya anga la Iran kama sio 100%.
Ile ni Military Base na Command Post inayotembea baharini.
Utawala wa KITEMI sasa rasmi unakwenda kukoma hapo Iran.
Kila lenye sura lina kisogo
na Kila lenye mwanzo lina mwisho.
Iran kaingia ndani ya 18 za US. Hapo kuchomoka hakupo 💯 %
Tumia VPN/MB yako vizuri, acha unafiki!!!Aisee Iran kashashinda hii vita.
Kabisa ni ukweli ila ni mchungu sana kumeza