Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Ishu ya Iran kufadhili ugaidi ni ukweli au ni uongo?
Hamas,Hezbollah na Houth wote hao Iran ndiyo Bwana wao. Hata hilo hulijui? Au Una tafuta pa kujifariji na kujipa moyo baada ya kipigo ki Takatifu cha leo?
 
Mimi nilishawaambia safari hii Iran kayakanyaga atapigwa kama Ngoma!!!!
USA kashapata kisingizio cha kuwanyoosha hawa. Wanamsubiri aendelee kurusha missiles zake middle wamshushie vifurushi. Attack ya kwanza ilikuwa kulenga viongozi sijui kama wamefanikiwa. Zitakazofuata za miundombinu waIran wataanza kukimbia nchi.
 
Hawa hatuko nao
 
Attachments

  • IMG_4989.jpeg
    IMG_4989.jpeg
    41.1 KB · Views: 13
  • IMG_4977.jpeg
    IMG_4977.jpeg
    154.8 KB · Views: 12
  • IMG_4978.jpeg
    IMG_4978.jpeg
    168.9 KB · Views: 15
Back
Top Bottom