Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Waambie wakuelewe maana wamejitoa ufahamu siku nyingi!!Sasa mkuu ulitaka wafanye nini, unajua lakini kwamba USS GERALD FORD ipo middle east? Ile USS GERALD FORD inaweza zima 80% ya anga la Iran kama sio 100%.
Ile ni Military Base na Command Post inayotembea baharini.