Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥
Tel avi king'ora cha tahadhali kimelia
20260228_141917.jpg
 
Endeleeni na propaganda hata Saadam alifanya Spinning kuudanganya ulimwengu kuwa amedungua ndege 100 za US mwisho alikimbia kwenye handaki kujificha US akiingia kwenye vita huwa ana intels za kutosha Ya Sadam ile Mother of All Battle 1990 na 2003 inajirudia Iran..
ayatollah watamfanya vibaya sana kama saddam na ghadaf walivyokufa vibaya. Sijui atakimbilia nchi gani akajifiche huko, kwanza anga imefungwa atakuwa humohumo iran akimangamanga kujificha na mwisho watampata kama panzi!
 
Dahh 😄

Hiyo series inaongelea jinsi dini zinavyo tumika kuwalaghai watu Kwa mgongo wa mungu kumbe ni utapeli na ni mifumo ya wajanja wachache kuwatawala wajinga wengi
Ni series kumbe?
Sasa hiyo inafahamika mbona hata huku wanajipigia mataahira wao kwa mgongo wa dini.
 
Hii dunia hii! Kwanini Iran asiachanena hizo nuclear weapons? Kwanini USA amzuie Iran kujifanyia mambo yake?
Naskia eti Iran anafadhili makundi mengi ya kigaidi kwa hiyo Marekani ina wasiwasi kuwa akimiliki hizo nuclear ataweza kuwapa hao magaidi wazitumie.

Hii ndio sababu ambayo nimekuwa nikiisikia ila sijui kama ina ukweli wowote.
 
Back
Top Bottom