Kwahiyo wale wanaoteseka kwenye biblia dini gani?
Wanajua Nini kinafuata
Iran ana lengo la kuifuta IsraelHii dunia hii! Kwanini Iran asiachanena hizo nuclear weapons? Kwanini USA amzuie Iran kujifanyia mambo yake?
Me ni Mkristo, nasema hivi...wewe ni Khuma!!!Muislam na uchizi wake wa takbir hapaswi kuwa na nyuklia.
Hadi sasa Iran imerusha makombora chini ya 100, inaonyesha waliwahaiwa
View: https://x.com/clashreport/status/2027709124822061474
View attachment 3549986
Naona Israel imefanikiwa kupiga military targets ndani ya Iran, imeshachinja wanafunzi 40 tayari.
Noma sana!!!
Wewe na propaganda zako. Muda utaongea.Qatar alijidai anazlangusha Missiles za Iran hahaha kuna base ya Nato pale imesambaratishwa askari 20 wa Italy wameuma na mmoja kafa
Vipi, hii umethibitisha reporter!?Nafatilia kila angle ya hizi Vita kutoka kila sehemu pro Iran, pro marekani n.k
Lakini siwezi kuthubutu kufatilia unachosema. Uongo kwako uko kwenye DNA
Wewe utakua unaishi kwenye kichuguu bila shaka"Dunia nzima" "gen z hawataki tena ishu za dini." Hivi hizi data ni Kwa takwimu ipi na iliyofanyika wapi.? Maana humu humu ndani ya uzi uchangiaji umejaa mirengo ya kidini tena haswa kwa upande wa wasiokuwa waislamu,je unataka kusema hawa pia si Gen z,na je kwako wewe ukisema dunia nzima unamaanisha nini.?
Uki analyze sababu za kushambulia wanazotoa kwenye press utaona ni propaganda. Mfano Venezuela it was more than drugs ata Iran siamini kama shida ni nuclear tu.Hii dunia hii! Kwanini Iran asiachanena hizo nuclear weapons? Kwanini USA amzuie Iran kujifanyia mambo yake?
Nyumbu jike mtaalam wa kuiba mitungi ya gesi, tangu serekali iimarishe ulinzi na kukuzuia kwenye shughuli yako ya wizi wa mitungi ya gesi kama ulivyofanya Oct 29 umeanza kuchanganyikiwaNilijua lazima uje kutingisha kalio lako kwa wanaume..!!
Basha ako duli si ndio aliua watoto na silaha zake alizoagiza, wewe sio tu punga ila pia ni punguani..!!
Hapana, sio lazima waasi wawepo kwanza. Kutokana na mashambulizi kama haya, wanaweza tokea waandamanaji ambao wakaunda kikundi cha mapinduzi ya serikali na utawala wa Iran ukadondoka.Marekani na Israel wanataka kuangusha utawala wa Iran wakiwa hewani kama ilivyofanyika Libya ila tatizo Iran hakuna waasi rasmi wenye nguvu wa kuwasaidia kama ilivyokuwa Libya.
Labda jeshi la Iran na Raia wake waamue kuasi ndio hilo litafanikiwa kinyume na hapo mashambulizi yataisha na utawala utabakia.