Hawawezi labda Saudia. Hivyo vi nchi ni vidogo na havina Ardhi ya kutosha na maeneo mengi ni majiji, bomu moja Tu kwenye jiji wageni wakiondoka zinaingia kwenye madeni makubwa ambayo itachukua generations kurudi kama Leo.Jordan downs two ballistic missiles
Two ballistic missiles have been shot down above Jordan, according to the country’s military.
UAE says it reserves ‘full right’ to respond to Iranian attack
The Emirati defence ministry has confirmed in a statement that the country was targeted by Iranian ballistic missiles, and air defences successfully intercepted a “number” of them.
The statement read the fall of shrapnel on a residential area in Abu Dhabi resulted in some material damage and the death of one person of Asian nationality.
Bahrain terms attacks on its soil as ‘treacherous’
Bahrain has confirmed that attacks targeted sites and facilities “in a blatant violation of the kingdom’s sovereignty and security”.
It described them as “treacherous attacks” that pose a direct threat to Bahrain’s security and safety of its citizens and residents, Qatar’s news agency reported.
Hizi nchi Tatu leo zitaruhusu Israel na Marekani kutumia Ardhi zao dhidi ya Iran
Air defense hazifanyi kazi leo!?
So Kuna watu wanadhani kwamba waajemi ni wajinga wajingaHata humo kwenye biblia hakuna hadithi ya Israel kumpiga mwajemi , zaidi ya ile hadithi ya esta na modrekay kuwa esta aliwaokoa wayahudi kuuwawa na amani chini ya mfalme Ahasuerus wa kiajemi
Mtaalam wa updates za kivita karibu sana, usichoke kutujuza kila hatua.💥💥💥💥
Makamanda kadhaa wa jeshi la Iran waneuwawa baada ya mashambulizi ya Israel huko Iran
Majina na vyeo tutawaletea
"Dunia nzima" "gen z hawataki tena ishu za dini." Hivi hizi data ni Kwa takwimu ipi na iliyofanyika wapi.? Maana humu humu ndani ya uzi uchangiaji umejaa mirengo ya kidini tena haswa kwa upande wa wasiokuwa waislamu,je unataka kusema hawa pia si Gen z,na je kwako wewe ukisema dunia nzima unamaanisha nini.?Inawezekana ila Iran haikua nchi ya kidini tokea hapo, ni mapinduzi ya kiislam ndio yaliyoifanya itoke kuwa nchi ya kawaida yenye uchumi wa juu hadi kuwa ya kidini...Dunia nzima Gen Z hawataki tena ishu za dini kama umegundua...so nchi yoyote inayoweka dini mbele lazima upate upinzani kutoka ndani
Punguza uongo. Raia wa Iran 80% wapo nyuma ya serikali yao.Wananchi wa Iran wenyewe wanashangilia na wanasapoti USA ila kuna Iran feki huko bonyokwa na Kariakoo ndio wanaumia
Hapo nani anaomba poo!?Iran called on the United Nations Security Council to convene an urgent meeting on Saturday to act to halt what it described as aggression against the country, Foreign Ministry spokesperson Esmail Baghaei said. Baghaei also said Foreign Minister Abbas Araghchi was “alive and well.”
Wanaomba po mapama sana