Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Huko Israeli Jews ni asilimia 70 tu, wanafuatiwa na idadi kubwa ya waislam alafu Wakristo alafu Druze...na dini zote hizo zipo serikalini na hata jeshini...sasa shida ya kuwa Jew au ni nchi ya Israel?
Wao hawataki propaganda za uongo zinazo lenga kufifisha Imani Yao , Ukiishi basi usiwaletee mambo ya ulokole 😁

Sijui yesu ni bwana aisee lazima wakubanike maana Jewish ndio waasisi wa hizo Imani wanajua dini zote kuwa ni uongo uongo so hawataki kupumbazwa
 
😁😁 Jeshi la Mungu mwaka Jana walipigika vibaya na muajemi Israel ikawa uchi wanyama Kila mtu alijionea maajabu walivyo kuwa wana aminishwa kwamba Israel ni super power kumbe ilikuwa uongo bwana
Watu wana athiriwa na zile hadithi za biblia za mambo ya nyakati ,Swamweli na stories za kitabu cha waamuzi 😅
 
Ikiwa ni chini ya siku moja toka Marekani na Iran wafanye mazungumzo huko Ulaya juu ya kusitishwa kwa program ya nuclear ya Iran Leo tarehe 28/02/2026 Israel na Marekani wameishambulia na wanaendelea kuishambulia Iran kutoka pande mbalimbali za nchi hiyo. Ndege za Israel zimeripotiwa kuishambulia Magharibi mwa Iran kwa mujibu wa IDF. Wakati hayo yakiendelea Raisi wa US Bwana Donald Trump amesema ni wakati sasa wa Wairan kuungana kupata uhuru kwani ombi lao kwa Marekani kuishambulia Iran limekubaliwa. Kwingineko Iran imesema kwamba itashambulia taifa lolote la Mashariki lenye kambi za kijeshi za Marekani . Wakati huo huo imesikika milipuko sehemu mbalimbali katika Mashariki ya kati ikiwemo Bahrain, Qatar, Saudia Arabia, Jordan na Israel katika kile kinachoelezwa kama counter attack ya Iran dhidi ya Marekani na washirika wake.Katika hali ya kuhakikisha na kuonesha kushambuliwa kusiko halali kwa Iran na nchi za Israel na Marekani, wizara ya mambo ya nje ya Iran imeiomba UN kulaani hatua hizo dhidi ya taifa huru la Iran na kwamba Iran itajibu uchokozi huo bila kusita ili kutetea kujitawala kwa taifa la Iran.
 
Myahudi kachafukwa achana labisa na hao watu misri anawajua vizuri hao watu miungu yao kumi plus ilikung'utwa mpaka pharao akatema bungo na akawaachia waende nchi ya ahadi.
Hii ndio tamko la jeshi la Israel kwa wananchi kukaa mbali na kambi za jeshi huko Iran
20260228_131136.jpg
 
Inawezekana ila Iran haikua nchi ya kidini tokea hapo, ni mapinduzi ya kiislam ndio yaliyoifanya itoke kuwa nchi ya kawaida yenye uchumi wa juu hadi kuwa ya kidini...Dunia nzima Gen Z hawataki tena ishu za dini kama umegundua...so nchi yoyote inayoweka dini mbele lazima upate upinzani kutoka ndani
Historically Iran wanatengeneza dini zao kuanzia Zoroastrian, Manichaeism, shiism etc. so most of time dini zao zinawala nchi Yao.

Pia si kweli Iran ilikua uchumi wa juu kipindi cha Shah waliwapa kila kitu Marekani, nchi ilikua kwenye umasikini wa kutupwa, niliwahi weka data humu, Nyanja nyingi Tanzania ilikua juu kuliko Iran miaka ya 60 na 70. Baada ya Mapinduzi ndio wakafocus kwenye vitu kama Elimu, sayansi etc.

Pia wairan ni watu wenye pride Sana, hakuna Muiran boya ambaye anataka kutawaliwa na Mmarekani ama Muisrael, ndio maana unaona maandamano against serikali ila kamwe huwezi ona maandamano ya kumtaka Kibaraka wa nje.
 
Duh! Kwahiyo Yesu kwao hawamtambui?
Ndio 😄😄😄

Shobo zetu tu Waafrica, wewe hushangai Nchi inafanya mpaka maparedi ya ushoga ingekuwa ndio kitovu Cha Imani hizi zilizopo Africa ingeruhusu vipi hayo !?

Tatizo wabongo wengi wamejifungia hawataki kutafuta taarifa, kile walicho aminishwa misikitini na makanisani ndio hicho hicho wanacho kibeba na kukiishi hawataki kufanya research na kujua ukweli wake ,

Israel wana dini Yao ya Jewish wao na ukristo ni chui na paka yaani Bora ya waislam wana wavumilia kidogo na sio wakristo 😁

Jamaa majinga sana
 

Jordan downs two ballistic missiles​

Two ballistic missiles have been shot down above Jordan, according to the country’s military.


UAE says it reserves ‘full right’ to respond to Iranian attack​

The Emirati defence ministry has confirmed in a statement that the country was targeted by Iranian ballistic missiles, and air defences successfully intercepted a “number” of them.

The statement read the fall of shrapnel on a residential area in Abu Dhabi resulted in some material damage and the death of one person of Asian nationality.

Bahrain terms attacks on its soil as ‘treacherous’​

Bahrain has confirmed that attacks targeted sites and facilities “in a blatant violation of the kingdom’s sovereignty and security”.

It described them as “treacherous attacks” that pose a direct threat to Bahrain’s security and safety of its citizens and residents, Qatar’s news agency reported.


Hizi nchi Tatu leo zitaruhusu Israel na Marekani kutumia Ardhi zao dhidi ya Iran
 
Milipuko Zaidi Abu Dhabi na Dubai
Tunapokea ripoti nyingi za milipuko inayotokea huko Dubai na Abu Dhabi.
Hii inajumuisha shambulio la awali kwenye kambi ya Marekani Abu Dhabi ambapo anga limefungwa tayari.
Dadeki muiran hajawahi kuwa mnyonge 🤣🤣

Mimi nadhani kwamba USA na Israel kama walikuwa na Nia ya kumdogosha Iran wamechelewa Sana mtu mpaka amefikia hatua ya kutengeneza missile nyie mpo tu now ndio mnatoka usingizini

Acha kiwalambe kwanza
 

Mtu mmoja inaripotiwa ameuawa huko Abu Dhabi, mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), baada ya makombora kadhaa yaliyotoka Iran kuzuiliwa, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali la UAE.​


UAE imesema "shambulio hili ni uvunjaji mkubwa wa uhuru wa taifa lake na sheria za kimataifa". Imesema pia "inajihifadhi haki yake kamili ya kujibu ongezeko hili la shambulio".
 
Back
Top Bottom