Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Haifa under attack
Kivipi?Ungejua hapo inalindwa mecca hata usingeumiza kichwa kumalaumu USA na Israel.
Ndugu maneno ya wanasiasa sio ya kuyaamini asilimia 100 hasa wakati wanatafuta kura. Mwanasiasa akikwambia sasahivi ni usiku,toka nje uthibitishe.Trump kwenye mjadala wake na Biden alionekana kumshinda hoja Biden kwasababu ya vita zilizoanzishwa katika utawala wa Biden
Naye alisema akiwa raisi hakutakuwa na vita na hizo ambazo zimeanzishwa atakuja kuzimaliza ili dunia iwe na amani.
Mimi nilimuona snitch tangu siku ile ila Pro Russia waliona huyu ndio raisi wanayemtaka kwa kile tu kilichoonekana mwanzo kuwa Trump ana mahusiano mazuri na Putin kuliko Biden.
Nadhani sasa mmeanza kuelewa.
Vita ya Ukraine na Russia alisema ataimaliza ndani ya siku 2Kwenye podcast yake na joe rogan, likipokuja suala la vita gaza/israel akasema hatosema ataimalizaje vita ila anajua jinsi ya kuimaliza ngoja aingie madarakani ,, na kuke russia/ukraine atamaliza ndani ya mwezi mmoja
Nikaswma hapa ni kama ccm kuingia madarakani tu ila hakuna kitu
CDF wa Iran ameliwa kichwa. Sasa sijui nani atatoa komandi?
View: https://www.instagram.com/p/DVS4FVelTrK/?igsh=MTEyMnM2Nnk5bWw2bA==
Hivi hayo makombora hayawapati wale waandamanaji vipenzi wa Nchi za magharib? Maana isiwe unasema inawatetea huku inawauaMarekani na Israel zilianzisha mashambulizi dhidi ya Iran siku ya Jumamosi, huku shambulio la kwanza likiripotiwa kutokea karibu na ofisi za Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.
Vyombo vya habari vya Iran viliripoti mashambulizi katika maeneo mbalimbali nchini humo, huku moshi ukionekana ukifuka kutoka katika mji mkuu, Tehran.
Rais wa Marekani, Donald Trump, alisema kupitia video aliyochapisha kwenye mitandao ya kijamii kuwa Marekani imeanza operesheni kubwa za kijeshi nchini Iran. Alidai kuwa Iran imeendelea kuendeleza mpango wake wa nyuklia na ina mipango ya kutengeneza makombora yenye uwezo wa kufika Marekani.
Haikufahamika mara moja kama Khamenei mwenye umri wa miaka 86 alikuwa ndani ya ofisi zake wakati wa shambulio hilo, kwani hajaonekana hadharani kwa siku kadhaa huku mvutano kati ya Iran na Marekani ukiendelea kuongezeka.
Mashambulizi hayo yamekuja wakati Marekani ikiwa imekusanya idadi kubwa ya ndege za kivita na meli za kijeshi katika eneo hilo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuishinikiza Iran kufikia makubaliano kuhusu mpango wake wa nyuklia.
View attachment 3549827View attachment 3549826
----------
Israel launched what it called a “preemptive strike” against Iran Saturday morning, according to Defense Minister Israel Katz, as a state of emergency was declared across the country.
The government declared the state of emergency because of the expectation of Iranian retaliation with drones and ballistic missiles.
The U.S. and Israel launched an attack Saturday on Iran, with the first apparent strike happening near the offices of Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei.
Iranian media reported strikes nationwide, and smoke could be seen rising from the capital.
President Donald Trump said in a video posted on social media that the U.S. had begun “major combat operations in Iran.” He claimed Iran has continued to develop its nuclear program and plans to develop missiles to reach U.S.
It also wasn’t immediately clear whether the 86-year-old Khamenei was in his offices at the time. He hasn’t been seen publicly in days as tensions with the United States have grown. The attack comes as the United States has assembled a vast fleet of fighter jets and warships in the region to try to pressure Iran into a deal over its nuclear program.
Source: CNN
Ubaya wa vita ni kwamba inaanzaga hivi hivi mmoja anapiga vituo muhimu tu kama jeshini au viwanda vya silaha....ila mwingne yeye anavurumisha bomu litue popote ilimladi litue ardhi ya mpinzani.Hii vita ya nchi na nchi madhara hayatakua makubwa kama yale ya Israel na Hamas, Hii vita target itakua Miundombinu ya kijeshi, nishati, pro regime wa Ayatollah Khamenei, wakubwa wa jeshini na njia za kiuchumi.
Ahadi za wanasiasa haziaminikiVita ya Ukraine na Russia alisema ataimaliza ndani ya siku 2
Hivi watu mnaichukuliaje US? Wale jamaa wanaweza wakasimama dhidi ya Russia, China na Iran kwa wakati mmoja bila kuyumba.Daah ila huu uonevu mpaka lini? Haya huu ndio muda china nae aikamatie chini Taiwan maana USA yuko busy na Iran.
CDF wa Iran ameliwa kichwa. Sasa sijui nani atatoa komandi?
View: https://www.instagram.com/p/DVS4FVelTrK/?igsh=MTEyMnM2Nnk5bWw2bA==
Exactly... Israel ni koloni la americaSema hao Israel kwenda kuipiga Iran ni Trump kapitia mlango wa nyuma..!!
Nilichobaini ni kwamba Marekani wana maadui wao ambao hawawezi kugeuzwa marafiki kupitia power ya uraisi.Ndugu maneno ya wanasiasa sio ya kuyaamini asilimia 100 hasa wakati wanatafuta kura. Mwanasiasa akikwambia sasahivi ni usiku,toka nje uthibitishe.
Kuna video niliiona Youtube kuna mchambuzi fulani jina limenitoka, ni raia wa Marekani kijana mdogo sio maarufu sana. Baada tu ya Trump kuchagua mawaziri wake,alisema kabisa Trump kachagua watu wapenda "damu" na utawala wake utakuwa na vita nyingi tu na alisema kabisa Trump ataishambulia Iran kwa sababu watu aliowaweka kwenye cabinet yake ni Anti- Iran hasa waziri wa Ulinzi Pete Hesgeth. Kwa wakati ule ilionekana kama utani maana Trump alikuwa hana hata miezi mingi madarakani lakini kwa sasa utabiri wa yule mchambuzi unatimia.
Dunia nzima ni too weak kwa America,Wazee kobazi 🤣🤣🤣🤣🤣, mnajua Iran is too weak
Hata kwenye haya mashambulio ya leo kuna raia wamekufa, hakuna vita ambayo raia wasio na hatia watanusurika. Hata wakati wa kukamatwa Maduro kuna maiti za raia zilitapakaa barabarani. Vita haina macho. Ni vile tu wahusika watasema walilenga maeneo fulani lakini hakuna namna raia wasidhurike,hiyo haipoUbaya wa vita ni kwamba inaanzaga hivi hivi mmoja anapiga vituo muhimu tu kama jeshini au viwanda vya silaha....ila mwingne yeye anavurumisha bomu litue popote ilimladi litue ardhi ya mpinzani.
Sasa hapo ndo ubaya unaanzaga mwisho wa siku kila mmoja anaanza kuvurumisha mabomu kwa raia wa mwenzake ilimladi tu mmoja a surrender.
We sio kosa lako muvi zimekuharibuHivi watu mnaichukuliaje US? Wale jamaa wanaweza wakasimama dhidi ya Russia, China na Iran kwa wakati mmoja bila kuyumba.
Anaeilinda ni Mungu au US?Itakieni amani Israel
Mungu tulindie Israel yetu kwa wivu mkubwa
ikatawale kuanzia Sinai had damsucus ya kale Hadi vilima vya Herman
kuanzia ng'ambo ya Jordan Hadi judea na samaria ...
mashujaa wrtu warudi na ushindi kamili
adui aangamie asurud tena