Mkuu, hata mimi nimekuwa nikijiuliza hilo swali bila majibu. Je Israel ni mshirika au ni bwana sio tu wa Marekani bali nchi za Magharibi kwa ujumla? Mfano, mwaka jana kuna mwandishi wa habari wa Italia,alifukuzwa kazi baada ya kumuuliza mojawapo ya viongozi wa EU kama Israel inapaswa kutoa gharama ya kuijenga Gaza baada ya mashambulizi iliyoyafanya. Kitendo cha yule mwandishi wa habari kufukuzwa kazi kwa kuuliza swali katika nchi ambazo tunaamini watu wana uhuru wa kusema na kujieleza kinafikirisha sana.Huku North America tunachoamini ni kwamba Israel ndiyo bwana wa US mpaka raia wanalalamika, US hupangiwa nini cha kufanya na nini hakipaswi kufanywa kwa sababu ya Jewish community huku.
Kama haina uwezo mbona imeanzisha mashambulizi dhidi ya iran?,na kila siku israel ndio anaanzaga kuipiga iran?Israel haina uwezo wa kuipiga Irani hata kidogo; japo huwa inapiga kelele kama mbwa koko watu wasio na data wafikiri ina nguvu kubwa ya kijeshi kumbe propaganda na utegemezi mkubwa wa kituo cha kijeshi cha Marekani kilichopo Israel kwa ajili ya kuidhoofisha nguvu Middle East.
Unakumbuka mwaka jana ilivyo ibeep Irani ikapigwa kipigo cha mbwa koko. Kama sio Marekani kuingilia kuokoa jahazi tungekuwa tunaongea mambo mengine...
Hapo inabeep ikitegemea Marekani imsaidie au pengine imetumwa ibeep kwa kuwa Israel ni Koloni la marekani; Hata kuwepo Nchi inayo itwa Israel ni Marekani iliwazawadia pale mwaka 1945
Kumjua wanamjua sema hawaikubali mission yake.Wayahudi hawamjui Yesu bro..
Israel ni mbwa koko tu; anategemea Marekani yenye kituo cha kijeshi pale Israel.Israel official statement imesema kuwa siku 4 zijazo zitakuwa ngumu zaidi Kwa Iran, maana Leo Israel inafanya kazi ya kupiga rada zote, viwanja vya ndege na kambi zote za kijeshi
USA-ISRAEL ni washirika,hata hivyo iran alipoteza viongozi wake wengi sana wavyombo vya ulinzi.
Awamu hii irani ameisha,jiandaeni na zile hashtags zenu za pray for iran
Iran anataka makubwaNaona media zote kubwa duniani ni breaking news ya iran under attack. Hii mbona ilionekana mapema tu kwamba iran inaweza kushambuliwa wakati wowote na ama marekani au israel. Sasa hapa ngoja iran ijititimue kujibu mashambulizi ndio itapigwa kisawasawa na marekani. Iran isijibu mashambulizi kama haitaki makubwa
Mkuu,kama huna nuclear hapa duniani utaonewa tu. Njia pekee ya kuepuka uonevu ni kumiliki bomu la nuclear. Ndio maana Kiduku haguswi na yeyote. Bila Nuclear wewe unaishi kwa fadhila za wenye nuclear. Kama Iran angekuwa na nuclear asingefanyiwa anayofanyiwa sasaDaah ila huu uonevu mpaka lini? Haya huu ndio muda china nae aikamatie chini Taiwan maana USA yuko busy na Iran.
Israel imesema imeanzisha kile ilichokiita “shambulio la kujihami mapema” dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kulingana na Waziri wa Ulinzi Israel Katz, huku hali ya hatari ya kitaifa ikitangazwa nchini humo.
Serikali ilitangaza hali hiyo kwa sababu inatarajia Iran inaweza kujibu kwa kutumia ndege zisizo na rubani (drones) na makombora ya masafa marefu ya ballistic.
View attachment 3549827View attachment 3549826
----------
Israel launched what it called a “preemptive strike” against Iran Saturday morning, according to Defense Minister Israel Katz, as a state of emergency was declared across the country.
The government declared the state of emergency because of the expectation of Iranian retaliation with drones and ballistic missiles.
Source: CNN
Israel imesema imeanzisha kile ilichokiita “shambulio la kujihami mapema” dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kulingana na Waziri wa Ulinzi Israel Katz, huku hali ya hatari ya kitaifa ikitangazwa nchini humo.
Serikali ilitangaza hali hiyo kwa sababu inatarajia Iran inaweza kujibu kwa kutumia ndege zisizo na rubani (drones) na makombora ya masafa marefu ya ballistic.
View attachment 3549827View attachment 3549826
----------
Israel launched what it called a “preemptive strike” against Iran Saturday morning, according to Defense Minister Israel Katz, as a state of emergency was declared across the country.
The government declared the state of emergency because of the expectation of Iranian retaliation with drones and ballistic missiles.
Source: CNN
Yani anga la Iraq na Syria ni hovyo kabisa...hawanaga air defenses
Kama haina uwezo mbona imeanzisha mashambulizi dhidi ya iran?,na kila siku israel ndio anaanzaga kuipiga iran?
Tumiq qkili kufikiri acha mihemko.
Wazee wake Kiduku walikua mbele ya muda sanaMkuu,kama huna nuclear hapa duniani utaonewa tu. Njia pekee ya kuepuka uonevu ni kumiliki bomu la nuclear. Ndio maana Kiduku haguswi na yeyote. Bila Nuclear wewe unaishi kwa fadhila za wenye nuclear. Kama Iran angekuwa na nuclear asingefanyiwa anayofanyiwa sasa
Syria nayo ni nchi mkuu ya kueleweka hadi utarajie wawe na air defenses?Yani anga la Iraq na Syria ni hovyo kabisa...hawanaga air defenses
Vita ndiyo inayoleta ustaarabu Duniani bila vita hakuna ustaarabu (civilization) muache Iran achapike.Wote wapo kwenye mfungo nani ataibuka mshindi kati ya wala tende na wanywa mvinyo wenye chachu?
Kinachoumiza ni watoto watakaokufa wasio na hatia.
Bora sisi tusio na imani kabisa. Hawa waja wa mungu makatiri sanaWote wapo kwenye mfungo nani ataibuka mshindi kati ya wala tende na wanywa mvinyo wenye chachu?
Kinachoumiza ni watoto watakaokufa wasio na hatia.
Kabisa mkuu, waliiwekea nchi yao ulinzi wa UKWELI NA UHAKIKA. Hakuna anaesogeza pua yake kuishambulia nchi yao. Iran alichelewa sana katika hiliWazee wake Kiduku walikua mbele ya muda sana