Walokole 🚮Mungu anailinda
tuombe magaidi ya Iran yakiongozwa na Ayatollah yaangamizwe
Dunia tusipozinesa kidogo ,heshima huwa inashuka sana ... We huoni Japan aliposhushiwa little man na fat boy nidhamu ilirudi mpaka leo? Mjerumani si unaona na mwenyewe sahivi ametulia hana noma na mtu?🤓🤓🤓🤣🤣Acha MOTO umwagwe, mwaga moto US.
Asee we acha kabisa... Hafu supraiz umekuja wakati wa mfungo... Sasa sijui swaumu itatenguliwa?😂😂😂Sasa kobasi watajificha wapi?🙆
Walikua wanaongea sana humu 😄
Hii nzuri,ukiua kwa upanga unakufa kwa upanga 😄Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was eliminated.He gave the death sentence to thousands of protesters.
Acha mzaha mkuu, hakuna mshirika wa Iran atakayesogeza pumbu zake kumsaidia Iran hasa wakijua US yupo hapo.Hii vita iko staged, ni mtiti mkubwa, unaambiwa US begins major combat opperation in Iran. Iran itachanganyikiwa ishambulie wapi kati ya israel na base za marekani. Fikiria iran peke yake itawezaje kupigana na Israel na Marekani at the same time peke yake. Mind kuwa USA atakuwa na backup ya washirika wake wa NATO. Labda iran nayo ipate sapoti toka kwa washirika wake Urusi, china na korea kaskazini walau atajititimua kutupa kombora kadhaa zenye kuleta madhara makubwa kwa maadui zake. Sasa hii si itakuwa vita kuu ya tatu ya dunia kama washirika wa iran nao wataingia vitani kumsaidia mwenzao?
Houthi is backYemen joined the war. Launched missiles towards Israel
Which mean Iran yuko kwenye hali tete, Next Yemen will Attack SaudiaYemen joined the war. Launched missiles towards Israel
Huyu Yemen anajitafutia matatizo mazito sana sana.Yemen joined the war. Launched missiles towards Israel
Sawa shia naona daku limekuzidia nguvu unajamba tu😁😁Walokole 🚮
Tuonyeshe hata picha basitayari iran wamerusha mvua ya makombora now.. Ingia Aljazeera ujionee