Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora kambi ya istgah Shahid kolanduz
20260228_120635.jpg
 
Trump kwenye mjadala wake na Biden alionekana kumshinda hoja Biden kwasababu ya vita zilizoanzishwa katika utawala wa Biden

Naye alisema akiwa raisi hakutakuwa na vita na hizo ambazo zimeanzishwa atakuja kuzimaliza ili dunia iwe na amani.

Mimi nilimuona snitch tangu siku ile ila Pro Russia waliona huyu ndio raisi wanayemtaka kwa kile tu kilichoonekana mwanzo kuwa Trump ana mahusiano mazuri na Putin kuliko Biden.

Nadhani sasa mmeanza kuelewa.
Tuliwaambia humu, Trump hawezi kwenda nje ya matakwa ya mipango ya nchi. Wenzetu wana agendaz za kitaifa, kila Rais akiingia lazima atembee humo.

Na kubwa zaidi, jamaa wanajijua nchi yao ipoje, hawajawahi kuongozwa na mwanamke.
 
Unavyofikiri kila mtu akiiunga mkono iran ni mwislamu, ?walokole ni vilaza sana nyie🚮
Hakuna mkristo ataungana na serikali ya kigaidi ya Iran

wewe ni Shia umeshiba daku unanyamba tu😁😁

hivi kwann mtu mtandaoni akitaka kuonekana mtu mwema anaifcha dini yake anajifungamanisha na ukirsto?
 
Marekani hamuwezi muirani mpaka apate collabo.
 
Out of topic
Huwa najiuliza, pengine Wapalestina ndio Waisrael wa Mussa (Taifa Teule) kwani pia wapo lile eneo la Israel kwa Asili; Inakuwaje wanao jiita Waisrael na manguvu yao yote wanapigana vita na Palestina tangu miaka ya 1970, ambao hawana hata silaha ila wanaojiita waisrael wanachoka na kuomba vita iishe na chap unakuta palestina imejengeka? Ninawasisi, taifa teule ni Wapalestina.

Turudi kwenye Historia;
Baada ya vita kuu ya Pili, mwaka 1945, Marekani iliwazawadia mamluki walio isaidia kwenye Vita ambao wengi wao walikuwa ni Wajerumani; wale waliokuwa weupe (Wazungu) wakazawadiwa eneo la Palestina, tunalolitambua kama Israel kwa sasa na wale weusi (Waafrica) wakazawadiwa eneo la Africa magharibi linalo tambulika kwa sasa kama Ivory cost.
Ni mtazamo tu!
Umewaxa ujinga TU

Ukiwa unawaza tumia historia ya Biblia
Nje ya hapo huwezi kuelewa Israel
 
Back
Top Bottom