Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

GUYS!

Dunia inatayarisha stage kwa ajili ya ujio wa YESU!

Israel ni stage ya MUNGU kwenye dunia.

YESU atashuka jijini Yerusalem kuja kuwakomboa wayahudi wateule watakaomuamini YESU, wakati Israeli itakuwa imezingirwa kila kona, na Marekani hatokuwepo kumsaidia wakati huo. Tunaongelea miaka michache sana ijayo, tunaweza kuhesabu kwa miezi.

Nchi ambazo zitashiriki kushambulia Israel miaka kadhaa ijayo:

View attachment 3549835

“Wewe mtu! Mgeukie Gogu mfalme wa nchi ya Magogu ambaye ni mtawala mkuu wa Mesheki na Tubali.

Mimi nitakuzungusha na kukutia ndoana matayani mwako, na kukutoa nje wewe pamoja na jeshi lako lote: Farasi na wapandafarasi na kundi kubwa la watu wamevaa mavazi ya vita, ngao na vigao mikononi, wanapunga mapanga yao.

Wanajeshi kutoka Persia, Kushi na Puti wako pamoja nao; wote wana ngao na kofia za chuma.

Pia vikosi kutoka Gomeri, Beth-togarma, upande wa kaskazini kabisa, na majeshi yao yote pamoja na majeshi kutoka mataifa mengine, yako pamoja nawe.

Jitayarishe, ukae wewe mwenyewe na jeshi lako lote pamoja na wengine wote ulio nao, ukawalinde.

“Baada ya siku nyingi utaitwa kuishambulia nchi ambayo watu wengi waliletwa kutoka mataifa mengi na sasa wanaishi bila vitisho vya vita. Utaishambulia milima ya Israeli ambayo hapo awali ilikuwa jangwa na mahame kwa muda mrefu, lakini sasa watu wote huko wanaishi kwa usalama.

Utakwenda kasi kama tufani na kuifunika nchi kama wingu, wewe mwenyewe na jeshi lako lote na mataifa mengi yaliyo pamoja nawe."

Ezekiel.38.2-9.BHN
Soma vizuri maandiko

Ujio wa Yesu unaosubiriwa ni unyakuo wa KANISA
Ataishia Mawinguni hata fila duniani
 
Nakupenda Iran
aaaa1.PNG
 
Mkuu, hata mimi nimekuwa nikijiuliza hilo swali bila majibu. Je Israel ni mshirika au ni bwana sio tu wa Marekani bali nchi za Magharibi kwa ujumla? Mfano, mwaka jana kuna mwandishi wa habari wa Italia,alifukuzwa kazi baada ya kumuuliza mojawapo ya viongozi wa EU kama Israel inapaswa kutoa gharama ya kuijenga Gaza baada ya mashambulizi iliyoyafanya. Kitendo cha yule mwandishi wa habari kufukuzwa kazi kwa kuuliza swali katika nchi ambazo tunaamini watu wana uhuru wa kusema na kujieleza kinafikirisha sana.
Mtu aliyekamata uchumi wako ndo boss wako
 
Back
Top Bottom