Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Kwanini sasa amewapiga waarabu wenzake wakati walioanzisha vita ni Israel na US?Naona Iran ameamua kuwasha moto middle east. Mpaka sasa ameshapiga UAE, Qatar, Kuwait, Bahrain
Kwanini sasa amewapiga waarabu wenzake wakati walioanzisha vita ni Israel na US?Naona Iran ameamua kuwasha moto middle east. Mpaka sasa ameshapiga UAE, Qatar, Kuwait, Bahrain
Ayatollah is no moreNaona Iran anasambaratisha kambi zote za US zilizo Middle East
God Bless Ayatollah
Soon Israel anaenda kupata Chawa wa kutoshaNimeona hivi sasa sijajua Abu Dhabi na Kuwait wameingiaje kwenye hii vita
View attachment 3549876
Wapi nimejiambatanisha na Wakristo?Hakuna mkristo ataungana na serikali ya kigaidi ya Iran
wewe ni Shia umeshiba daku unanyamba tu😁😁
hivi kwann mtu mtandaoni akitaka kuonekana mtu mwema anaifcha dini yake anajifungamanisha na ukirsto?
Allah Awashughulishe madhalimu kwa madhalimu wengine na Awatoe Waislam katikati yao kwa salama na amani, Allahumma Aamiin
Sasa taarifa ingesema kambi za Marekani, kwasababu hapa ni kama wanatuma ujumbe kuwa Iran ina migogoro na hizo nchiKuna kambi za Marekani kote huko
anapiga kambi za Marekani zilizokuwa housed kwenye izo nchiKwanini sasa amewapiga waarabu wenzake wakati walioanzisha vita ni Israel na US?
Hakuna cha chawaSoon Israel anaenda kupata Chawa wa kutosha
Umewaxa ujinga TU
Ukiwa unawaza tumia historia ya Biblia
Nje ya hapo huwezi kuelewa Israel
Iran sio waarabuKwanini sasa amewapiga waarabu wenzake wakati walioanzisha vita ni Israel na US?
Utakua mbumbumbu wa siasa za mashariki ya Kati. Hapo zinalengwa kambi za kijeshi za marekani.na Iran alishatoa onyo kwa yeyote atakaeisaidia marekani atakumbana na moto wa iran.ndio kinachotokeaKwanini sasa amewapiga waarabu wenzake wakati walioanzisha vita ni Israel na US?
Hizo ni porojo tu za masjid ubwabwa, taifa la Israel lipo ndio hilo na anayepinga ni kwa kiburi chake tu lakini ukweli unabaki palepale kwamba taifa la Israel lipo hapohapo mashariki ya kati.Hili suala limeongelewa mara nyingi na watu wengi. Inaonekana kama hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya Waisrael wa sasa na wale waliotajwa kwenye maandiko matakatifu. Pia inaonekana uanzishwaji wa taifa la sasa la Israel ni mkakati tu wa nchi za magharibi kutawala eneo la Mashariki ya kati. Hata Kanisa Katoliki lilipinga uanzishwaji wa taifa la sasa la Israel.
Eti Netanyahu anawaambia wairan wa jamii zote kuwa hii ndio nafasi yao kuutoa utawala haramu wa Ayattolah,nilivyoona hii nkakumbuka point yako hapo juu,wameshaanza kutumia raia kupambana na serikali yao sasa sijui lini Netanyahu alikuwana uchungu na raia wa IranNimeona hivi sasa sijajua Abu Dhabi na Kuwait wameingiaje kwenye hii vita
View attachment 3549876
Mkuu, Iran si mwarabu na hana undugu wala urafiki na waarabu. Yeye na mwarabu ni maadui.Kwanini sasa amewapiga waarabu wenzake wakati walioanzisha vita ni Israel na US?
Iran anapoteza muda! Wenzake wanampiga kwenye mshono ila yeye anarusha tu makombora!Iran anatembeza kiberiti middle East kaanza na vibaraka,usiku Israel
View attachment 3549880
Huyo anajua Mwenyewe Haiwezi Iran japo na bwanake MarekanEti Netanyahu anawaambia wairan wa jamii zote kuwa hii ndio nafasi yao kuutoa utawala haramu wa Ayattolah,nilivyoona hii nkakumbuka point yako hapo juu,wameshaanza kutumia raia kupambana na serikali yao sasa sijui lini Netanyah alikuwana uchungu na raia wa Iran