dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Iran sio mnyonge hivyo
Nchi moja Inachangiwa lakini jamaa Ni piga nikupige
View: https://x.com/i/status/2027674289604808787
Yaani kasambaratisha kambi zote
na anachangiwa hapo
Iran sio mnyonge hivyo
Nchi moja Inachangiwa lakini jamaa Ni piga nikupige
View: https://x.com/i/status/2027674289604808787
Na raia wa US walipoona askari wao wanakufa sana wakataka vita vikome, US akarudisha jeshi nyumbani. Raia wana nguvu sana sana.Hii ni mbaya sana pale unapokosa backup ya raia wako... The same na idd Amin wa Uganda na vita ile ya kagera......
Wewe ukitaka kujua raia wanamchango wao kwenye vita,angalia au rejelea vita ya U.S na Vietnam..raia walikuwa upande wa jeshi la hoi chi Minh ,unajua kilichompata mmarekani kwenye vita ile
Eti kwenye mshonoIran anapoteza muda! Wenzake wanampiga kwenye mshono ila yeye anarusha tu makombora!
. Hizo kambi atapiga ila hata pata chochote
Iran sio mnyonge hivyo
Nchi moja Inachangiwa lakini jamaa Ni piga nikupige
View: https://x.com/i/status/2027674289604808787
Taifa la Israel limeundwa 14 may 1948 usifikiri huo mvutano wa migogoro ya kupigania haki umezuka tuHizo ni porojo tu za masjid ubwabwa, taifa la Israel lipo ndio hilo na anayepinga ni kwa kiburi chake tu lakini ukweli unabaki palepale kwamba taifa la Israel lipo hapohapo mashariki ya kati.
🤣🤣🤣🤣 Mbona kinyonge sanaIran mjinga sana!
Anazidi kujizidishia maadui
Waajame Sio wanyonge kamweYaani kasambaratisha kambi zote
na anachangiwa hapo
Hajasamabaratisha anashambuliaYaani kasambaratisha kambi zote
na anachangiwa hapo
Anapiga kambi za Marekani kwanza kudhoofisha logistics ya silaha zilizo karibu naye kwanza hili kupunguza mashambulizi,maana hata shambulio la kwnza kabisa limetokea JordanKwanini sasa amewapiga waarabu wenzake wakati walioanzisha vita ni Israel na US?
Kwanini sasa amewapiga waarabu wenzake wakati walioanzisha vita ni Israel na US?
Mkuu,kama raia hawakupendi adui atawatumia kukuangamiza na hiyo ndio njia rahisi zaidi ya adui kuuangusha utawala wa adui. Ni mojawapo tu ya mbinu za kivita.Eti Netanyahu anawaambia wairan wa jamii zote kuwa hii ndio nafasi yao kuutoa utawala haramu wa Ayattolah,nilivyoona hii nkakumbuka point yako hapo juu,wameshaanza kutumia raia kupambana na serikali yao sasa sijui lini Netanyahu alikuwana uchungu na raia wa Iran
Ni kupeleka moto tu hakuna kucheka na shogaWaajame Sio wanyonge kamwe
Muda wa Ayatollah umeisha!🤣🤣🤣🤣 Mbona kinyonge sana
yote sawaHajasamabaratisha anashambulia
Nmeona makombora yakipiga kambi za kijeshi za Iran huku raia wakirekodi na kushangiliaMkuu,kama raia hawakupendi adui atawatumia kukuangamiza na hiyo ndio njia rahisi zaidi ya adui kuuangusha utawala wa adui. Ni mojawapo tu ya mbinu za kivita.
Hili ni onyoMu
Muda wa Ayatollah umeisha!